Mshahara Umeshatoka?

Mshahara Umeshatoka?

Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
 
Uliishia darasa la ngapi? Nimekuuliza hazina imekauka? Tumemsikia kimei na watu wa bandari wanasema uchumi uko chini ya uvungu
Nimeishia PhD. Una lingine?

Tarehe rasmi bado unabwabwaja hapa. Subira ni dalili ya busara. Una umri gani wewe? Umegraduate Nursery siku za karibuni?
 
Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
 
Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
me nangojea hilo li-increment la mwezi huu manake uhakiki umeisha...hata wakichelewesha ntapunguza machungu kwenye increment...halafu nadhani nitakuwa promoted this month..I'm going to pocket handsome package..
 
Baada ya serikali katika miezi iliyopita kujaribu kulipa mishahara tarehe 22/23 ya kila mwezi,sasa inaonekana ilikuwa nguvu ya soda.
Watumishi wa umma wamesikika wakitaka serikali iwalipe kwa tarehe hizo hizo hasa ukichukulia wanavyonyanyasika tangu iingue madàrakani
Kweli wewe ni iparamasa,hilo jina kwa kikwetu ni bonge la tusi
 
Tarehe rasmi ni ipi?
Kama ni tarehe 25 ya kila mwezi mbona bado? Tusichanganye madesa kama tarehe 25 iliangukia Jumapili hivyo watumishi wakalipwa tarehe 23 siku ya Ijumaa!
Mtoa mada hajielewi, mshahara gani wa tar 22/23? Hawa vijana wa BAVICHA zero kabisa, wanapenda sana kutungatunga mambo
 
Back
Top Bottom