Naomba msaada na ushauri katika suala hili wana JamiiForums

Naomba msaada na ushauri katika suala hili wana JamiiForums

Kuna dogo fulani nilifanya nae sex tarehe 22 mwezi wa pili mwaka huu baada tu ya kutoka period,period yenyewe ilianza tarehe 18, sasa mpaka leo tarehe 20 bado hajaona siku zake, je atakuwa ana ujauzito?
Kuna shida gani akiwa mjamzito mkuu?

Na nani kasema atakutaja wewe huyo mwanafunzi?
 
Kutokana na changamoto ya uhaba wa maji, miaka ya nyuma, kulikuwa na kisima cha kijiji ambacho kila Mwanakijiji alikuwa anakwenda kujichotea maji ...

Kuwa makini na hilo Mkuu.....

Hongera kuwa Baba Kijacho, kwa mujibu wa bei ya soko, diapers inauzwa shilingi 500 kwa moja, ama shilingi 5,000 dozen
 
diapers ndo nini mkuu! Lugha ya malkia ilinipita kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom