Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
- Thread starter
- #141
Ahahahanadhani hela zimepelekwa kule kwenye kuvunja ukuta
Ahahahanadhani hela zimepelekwa kule kwenye kuvunja ukuta
WanaendaWanaenda lindo na njaa mpaka wanakutwa na bwana pepsiNdo maana niliona polisi wakila mihogo wakati wa mazoezi mtaani. Kumbe tatizo ni mshahara.
Yaani hata tusio ba hatia tunqsomeshwa namba hatari sana hiiTunaisoma namba
Tumeipenda wenyewe....chaguo letu milelee...Nchi ya ajabu sana.
Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyooshaNchi ya ajabu sana.
Acha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika?Tayari washaweka boss tembelea nmb atm.....ila katunyoosha
Zinaingia taratibu...wengine wameshapata wengine badoAcha masihara mkuu, ujue kuna watu wanadhalilika?
Unauliza kijanja sio bado tunahakiki wafanyakazi hewaKuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba!
Vipi?Shimo Lishatema?
Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha!
Nawasilisha!
Natumia laptop mkuuUmetumaje hii meseji kama simu umezima?