Mshahara Umeshatoka?

Mshahara Umeshatoka?

Madeni yamezidi mtaani jamani,acheni utani ATM zinacheka?
 
mvumilie hadi mwisho wa mwezi, mwezi Septemba bado haujaisha
 
Polen sana, wafanyakaxi wa serikali eeeeenh, ile ilikua mikwara ya kichaa cha dogo na kaboka mchizi
 
Mh hali si shwari kabisa,kadi yangu ya UDART inaisha leo sijui J.tatu itakuwaje kama haukutoka leo.
 
Back
Top Bottom