Yaani huko kwenye kodi ndio usiseme kabisa.jamani poleni na kila ukiangalia salio wanakula kodi yao
ndiyo tunajenga nchi sasaYaani huko kwenye kodi ndio usiseme kabisa.
ahahahaUmetumaje hii meseji kama simu umezima?
Inaonekana wameamua kuitumia mbinu hiyo kujiongezea kodijamani poleni na kila ukiangalia salio wanakula kodi yao
ndiyo maana yake na we uwe mjanja usiangalie angalie salioInaonekana wameamua kuitumia mbinu hiyo kujiongezea kodi
Tunajenga sisi lakini wanaokula nchi wengine kabisa.ndiyo tunajenga nchi sasa
ndiyo usawa haupo tena kuwa mpole tu mkuuTunajenga sisi lakini wanaokula nchi wengine kabisa.
Hela zimeisha hazina? Mbona maneno mengi?Tarehe rasmi ni ipi?
Kama ni tarehe 25 ya kila mwezi mbona bado? Tusichanganye madesa kama tarehe 25 iliangukia Jumapili hivyo watumishi wakalipwa tarehe 23 siku ya Ijumaa!
Sema hayo tarehe 26 au 27!Hela zimeisha hazina? Mbona maneno mengi?
Mnunuzi wa mazao.....na yeye anapangiwa beikwani mkulima yeye analipwa mshahara na naniiii