hehehee hili jibu la kisiasa kabisa...na wananchi wanaweza kupiga makofi kushangiliaNi kawaida sana
System itakuwa iko slow kwa sababu ya kutimia Umeme wa majenereta
Na mchwa au😀😀😀Nasikia pesa zimeliwa
Mpe mtaji.!!!Fuga kuku
Mi mpaka nimekasirika,siutaki tena,ntaanza kuchukua kuanzia mwezi ujao waendelee tu kukaa nao...Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya..
Mwigulu hebu jitafakari
Mwalimu anakosaje laki 5 za mtaji?Mp
Mpe mtaji.!!!
Kumbe ni tar 21-22 yeye analalamika leo tar 24...huku kwetu system inaonesha wote mmeshalipwa.Huenda ni mistake za kiufundi kwenye uwasilishaji taarifa za taasisi husika.
Pesa zipo za kutosha mbona, acheni kumpa mama mzigo .
Samia kila mwezi huwa anatulipa tar 21 na 22. Ikichelewa sana ni tar 23.
Kuna mtumishi wa Serikali ambaye hajapata mshahara hadi sasa? Serious???
hongera mkuu...Mie sms ndo inaingia muda huu. Kumbe mambo tayari tangu 22?
serikalini raha sana tar 22 unalipwa mshahara? Private sector ni mpaka siku ya mwisho ya mwezi na wakati mwingine mpaka tarehe 35 au 40Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya.
Mwigulu hebu jitafakari