wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
Unapata nini kusema uongo
Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
Hehehehe 3M ya ZimbabweKinachoniuma ni kukatwa 3M kama PAYE. Inauma sana.

Hiyo pesa ya mkopo ikiisha nione pm nikupe mbinu za kutokukaukiwa na pesa bila kutumia nguvu

sijakopa ndugu yangu kule nyumbani unakumbuka huwa tunauza ufuta mwezi wa saba.Hana hata kazi anaishi kwa shemeji yakeItoshe kusema lazima mleta uzi atakuwa mwalimu tena wa msingi.....
Alafu muulize, mshahara umetoka tarehe 22 na mwezi ujao unatoka tarehe 21 hapo kuna tofauti gani ya urefu wa mwezi huo kwenda mwingine?.Itoshe kusema lazima mleta uzi atakuwa mwalimu tena wa msingi.....
Hakuna msitari Kama huo kwenye biblia,huu Ni msitari wenye kupotosha neno la MunguKwa hiyo ukilipwa mapema umeongezewa? Maandiko yanasema wapeni masikini pombe wanywe wasahau shida zao.
Nmb bado ama?Crdb oyeeeee
oya mwanang tembo Kanya uko
Misemo ya askari wetu
Mshahara ukitoka leo tarehe 22 ukaja ukatoka next month tarehe hii hii 22 ni umekaa mwezi tu, sawa sawa na yule anaepokea tarehe 30 mpaka tarehe 30Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
Mmewekewa mshahara mapema ili mkanunue nakala za PGO mjisomee ili muache kutia aibu jamuhuri.
Lazima tuuwahishe ili na posho zetu za kuzuru USA tuwahi kujichoteaMungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
SOMA HIYO SHERIA YA UGAIDI UONE KAMA MBOYE ATACHOMOKA
Hapa unataka akujibu ili upate uhakika zaidiAcheni kurusha roho wasiokuwa na mshahara na inawezekana mleta uzi hata sio mtumishi wala hana chek namba ,zaidi anataka Tension
sent from HUAWEI
sijakopa ndugu yangu kule nyumbani unakumbuka huwa tunauza ufuta mwezi wa saba.