Mshahara mwezi huu umewahi sana

Ingekua ni Fb sahiv baba mwenye nyumba anae kudai kodi angekua amesha like post yako sasa sijui utamkwepea wapi.
 
Aste aste Mkuu ili ufike wiki ya tatu ya mwezi ujao .Ukijimwambafy na mshahara wako shauri yako!!!

Mungu amewalinda mko salama.

Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.

Uzi Tayari.
 
Watanzania bwana! Kuwahi mshahara maana yake nini? Utaratibu wa Serikali kulipa mshahara ni kwa mzunguko wa kila baada ya wiki tatu, ya nne unalipwa. Mshahara haulipwi kwa kuzingatia tarehe. Sasa, ukilipwa tarehe 23, ukalipwa tarehe hiyo hiyo au 25 au 27, inakupunguziaje ukali wa maisha? Hao ni maafisa utumishi tu wanaocheza na akili zenu watumishi hususani wa ngazi za chini!
Watumishi ihimizeni Serikali kuboresha kiwango cha mishahara mlipwe kulingana na ughali wa maisha kwa sasa; lakini pia, mboreshewe maslahi mengine kama posho za kujikimu, gratuity, monthly peshions, nk.
 
Ni wapi nimesema mshahara unanipunguzia ukali wa maisha? Na lakini pia ni wapi nimeongelea watumishi wa chini au juu? Duuh wabongo kwa uchambuzi jamani.
 
Back
Top Bottom