Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 942
Oy mkuu nitumie hata ten nipo vibaya mno.Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
Oy mkuu nitumie hata ten nipo vibaya mno.Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
🙏🙏Mkuu nitumie namba yako PM
Tena huenda akawa kuna mtumishi anamdai anataka kujua ili aende kumkwidaAcheni kurusha roho wasiokuwa na mshahara na inawezekana mleta uzi hata sio mtumishi wala hana chek namba ,zaidi anataka Tension
sent from HUAWEI
PGO ndo nini,hili neno limezungumzwa sana humu leommewekewa mshahara mapema ili mkanunue nakala za PGO mjisomee ili muache kutia aibu jamuhuri.
Police general orderPGO ndo nini,hili neno limezungumzwa sana humu leo
Aiseee! Pole sana.
Hahahaa,Mshahara wangu mwezi huu naomba mgawanye huko huko hazina,mfanye hela ya maji.Huu mwezi sina njaa kabisa.
Kwa hiyo ukilipwa mapema umeongezewa? Maandiko yanasema wapeni masikini pombe wanywe wasahau shida zao.Mungu amewalinda mko salama.
Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.
Uzi Tayari.
Chambuzi yakinifu toka kwa mchambuaji daudi mchambuzimmewekewa mshahara mapema ili mkanunue nakala za PGO mjisomee ili muache kutia aibu jamuhuri.
Hiyo pesa ya mkopo ikiisha nione pm nikupe mbinu za kutokukaukiwa na pesa bila kutumia nguvuMshahara wangu mwezi huu naomba mgawanye huko huko hazina,mfanye hela ya maji.Huu mwezi sina njaa kabisa.
salary advance umeshakula pia?Salam wana Jamii forum mwenye info salary ya mwezi huu inatoka lini nimefuria balaa na madeni kwa mangi kibao