Kwa kadri nijuavyo mimi Voda lazima wahusike kwahili
Kama kweli ukipiga wanakomba salio lako lote je wataenda wapi ku claim hizo credit kama sio Vodacom?
Mfano ninapokuwa na mchezo wangu napeleka voda na kuomba watakao shiriki wakatwe let say sh 200, basi hapo ujuwe voda watakata hela yao ya msg kama ni sh 40 na commission yao labda sh 30 na kinacho bakia mimi mwenye mchezo itabidi niende Vodacom ku claim kilicho baki katika 200 baada ya Voda kukata yao, na hapa lazima niende Voda kwasababu wao tayari walisha uza vocha na wanayo in terms of money
Sasa hawa jamaa wakikomba credit zako wata claim wapi kupata hizo pesa kama sio Voda
I stand to be corrected