Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Dah!! Aisee kweliUshuzi wa ngomani hauna ushahidi.
Dah!! Aisee kweliUshuzi wa ngomani hauna ushahidi.
Nimeipenda hiyo mkuu.Sura ya roho matendo
Pata pesa tujue tabia yako. . .
Mwanaume ndevu si umbea!
Mwanaume ndevu si umbea!
Kama kuwa handsome ni complement............ basi hata kuwa mbaya ni complement.....
Ukiwa mwongo...(mbea) uwe una kumbukumbu!!....
Tupe msemo wako.................
Hata wadada siku hizi wana midevu wanayo. Mwanaume ni baada ya kufungua Zip
Mwanaume ndevu si umbea!
Kwenye udhia weka rupia
Hata wadada siku hizi wana midevu wanayo. Mwanaume ni baada ya kufungua Zip
Mwanaume ndevu si umbea!
tabia ni kama mimba haijifichi