Msemo wa Leo....

Msemo wa Leo....

Mwizi mjanja humwacha mteja wake Hai, ili akatafute tena, naye kesho arudi kuiba tena
 
Hata saa ya ukutani mbovu huwa sahihi mara mbili kwa siku!
 
(1)Bora ya pengo kuliko jino bovu.>>>(2)Sio uzembe ni mambo tu[MSAGA EXPRESS].>>>If you can't join them,beat them[HOOD BUS CO.LTD].
 
Even If your name is Google don't pretend you know every thing!!
 
Mbuzi ni Mbuzi tu...hata atembee kwa miguu miwili....
 
Back
Top Bottom