Dear Wambandwa, thank you so much for your comment on my dream. In spite of that, your response reflects one side of the two available possibilities, and they are:

One, you have completely failed to unmask the theme of my dream. This may imply the state of your mind when reading the dream or may be it is due to your intrinsic inability of comprehension.

Two, the party where you belong to and represent, out of the two, namely the exploited majority and the exploiting minority. This has much effect on interest, choice, and ability to see the meaning of other people's opinions.

Nevertheless, allow me to give out my interpretation of my dream...

1. Kukamatwa kwa Msemakweli inaonesha kama ni uchokozi (kurusha jiwe) mwingine serikali inafanya kwa watu wake (mnyama ndani ya kichaka) ambao imekuwa ikiwachokoza mara nyingi nao wamekaa kimya kwa maana ya amani (wamesinzia au wanapumzika). Kichaka ni nchi yetu ya Tz.

Sasa kama huo ni uchuro, si mimi nitakayesababisha, bali ni wale waliokwiba mali ya nchi, na sasa hawataki mtu yeyote kusema ukweli. Wanatumia nguvu zote za dola, bunge, pesa, kuzima ukweli usijulikane .. je bado ni mimi ndiye nastahili lawama mkuu? Uwe na amani, na Tz ni nchi ya amani sana, lakini kwa kuendelea kurusha mawe kwenye kichaka, joka litaamka na kumeza mtu.