Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Wakuu nimemuona msemakweli kwenye taarifa ya habari itv amesema kuwa DPP kamuunganisha na DCI na wakaenda makao makuu akahojiwa na deputy DCI n ameoneka yupo kawaida implying nothing waz wrong!
Mkuu INVISIBLE hii ni 2nd report unatoa then napata mashaka na info zako may be sources zako hazipo sawa ya kwanza ilikuwa ya shimbo
 
prod said:
........Hivyo basi, ameshauriwa asiwe anatembea zaidi ya saa moja kwa usalama wake

Hao polisi n uasalama wa taifa wantakiwa wawaite na watuhumiwa washauri hivyo hivyo kuwa wsitembee zaidi ya sa moja kwa usalama wao. tena watuhumiwa ndio wako kwenye hatari kubwa teh teh

Inachekesha na kusikitisha mizaha na jinsi polisi wetu wanavyo handle mambo
 
Siasa za bongo ni kigeugeu sana! CDM mmekua watu wa kumponda Msemakweli leo hii? Jamani kwenye ukweli tusime ukweli kama ni tofali tuseme ni tofali na sio mkate! Msemakweli yuko sahihi tusione kama kapola hoja ya CDM! Tusiwe wanafiki wa kugeuza maneno kwa ujanja ujanja kama Kumwita ''hawaala yake badala yake mnamwita Mchumba wake''!
 
...
a. ... EPA alitaja kama ni "uhalifu mkubwa".
b. ... ni "uhalifu" halina shaka kwani ..


a. Kagoda ni wahalifu
b. Kagoda si wahalifu.

Kama Kagoda ni wahalifu ...

Kama Kagoda ni wahalifu basi
"Uhalifu, si uhalifu" is not the issue, hakuna aliyesema Kagoda ni sherehe. Issue, siku zote, ni Kagoda ni nani na kwa ushahidi gani.
 
<font size="3">watu wasiojulikana ! wasije kummwagia tindikali usoni</font>...............<font size="3">.maana hii ni Tanzania</font>
<br />
<br />
Hilo nalo Neno maana kwa nchi hii hakuna kinachoshindikana hasa ukizingatia wezi wanlindwa na kundi la wanausalama huku wazalendo wa ukweli walindwa na kudra za mwenyezi Mungu.
 
which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

mkuu waliotuhumiwa ndo walitakiwa kumshita kwa kuwadhalilisha sio serikali kumkamata yeye... ulishawahi kukamatiwa mwizi bila kusema kama umeibiwa?
 
ameshikwa kwa sababu kasema kuna watu wameiba?ulinzi shirikishi uko wapi sasa? hivi taarifa hizi zingetolewa dhidi ya mtu ambaye si mfadhili wa ccm huyu bwana angekamatwa kweli...kumbe sasa tuanze maandamano mchezo mchezo watatumaliza
 
Watanzania nafikiri tunatakiwa kutafuta a turning point. Kama serikali iliwaomba raia wake wawasilishe ushahidi dhidi ya Kagoda, akajitokeza mtu aliye na ushahidi badala ya kuuchambua na kufanya maamuzi ya kuutumia au kuuacha mnaamua kumpa kashikashi mtu mliyemuomba msaada huo.
Watanzania tukiipata hiyo turning point, tuka-flip everything na kuweza kuweka shinikizo hawa watu washitakiwe....na watashitakiwa. Msemakweli katupa mfano hapa na tunatakiwa kumuunga mkono hata kama serikali wakiamua kum-discourage.

Serikali imetuma message kuwa: "we did not mean it, so we do not anyone else to come again na huo ushahidi wenu". Ha ha haaaa. Mambo ya bongo.
 
BUJIBUJI,Hayo ni yale majinga wala usihangaike nayo,hao ni watanzania wanaokimbizana na elfu moja ya kula kwa siku,utadhani hizo hela zilizochotwa waligawiwa kumbe hata senti hakupewa lakini baada ya kusikia mtanzania mwenzao amejitoa kuwashitaki wanaanza kuhoji aaaah hana ushahidi huyo,wacha akamatwe na polisi kajitakia huyo!!!!!!!hawa wamekufa lakini wanatembea,wengine wako hata maofisini,tunao kwenye michezo na pia ni majirani zetu mitaani,LAKINI UKWELI WALISHAKUFA SIKU NYINGIIIIII SAWA NA NG'OMBE ALIYEKWAMA MATOPENI MWAKA MZIMA KAFA HUKU KASIMAMA UTADHANI MZIMA.Kama huna cha kuchangia sio vibaya ukanyamaza usubiri usikie kesi itakavyounguma mahakamani,magamba mmefilisika kiakili mnamwona msemakweli kama adui yenu maana anawaumbua wafadhili wa chama chenu.
 
Wana JF mie nadhani tunakwenda mbio mno. Tunajidhihirisha kuwa Msemakweli alikamatwa wakati ukifatilia maelezo yaliyotolewa na wengi humu pamoja na maelezo ya Msemakweli, yeye alipelekwa kwa DCI kupata maelezo yake ambayo mmeeleza kuwa hakuyatoa mpaka jumatatu. Sasa mie nadhani kama angekuwa amekamatwa, kitendo cha kutokutoa maelezo wasingemwachia bali wangepata sababu ya kumng'ang'ania.
Kosa walilochemsha Polisi ni kumwambia asitembee zaidi ya saa moja jioni. Kama polisi waliona yuko hatarini basi wanapaswa kumwekea ulinzi 24/7 maana ni wajibu wa dola kulinda raia wake hasa kama huyu ambaye imekwisha jidhirisha kuwa anaweza kuwa key witness katika kesi kubwa na yaaina yake kutokea hapa nchini.
Lazima watambue kudhurika kwa huyu kunaweza kuigeuza nchi upside down kwa matokeo yatakayo weza tokea mitaani na wao Polisi na Usalama wa Taifa ndio watakao kuwa wahanga wakuu wa janga hilo. Ushahidi wa hayo ni yanayotokea nchi mbalimbali sasa hivi.
Nawasihi sana Vyombo vyetu vya usalama sasa wajikane na kuanza kutenda haki na wasikubali kutumiwa na viongozi wachache na wenye fedha kwa hatima ya yote ni dhahma kwa Watanzania wote na familia zao zikiwemo.
Kama kwa kesi hii na nyinginezo za aina yake ndio kifo cha CCM, basi waiache ijifie na Tanzania itaendelea kuwepo bila kutetereka. Nchi kama Ivory Coast zilikuwa na Amani kuliko kunayo jinadi nayo,lakini leo ikoje? Chanzo chake ilikuwa ni mambo kama haya haya tunayoyaona na kuyadharau kama vile tumelishwa LIMBWATA.
 
ameyataka mwenyewe, kukurupuka ni kubaya!

kwa kweli hii dunia sijui watu wanatumia nini kufikiria wewe unajuaje kuwa kakurupuka ? Au wewe ni shabiki na unatumika na mafisadi ambao wanatutia umaskini. Kishongo nimekuwa nikisoma michango yako lakini wakati wote nimekuwa nikipata kichefuchefu sio siri wengi unawachefua sana has great thinkers. Ushahidi haujapokewa halafu unasema kakurupuka. Watu wengine bwana mpaka kinyaa.
 
ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

kwa kweli watu wengine sijui wanamatatizo gani humu ndani mimi sikutegemea kabisa mtu mwenye akili timamu anaweza kusema afadhali kakamatwa halafu asiwe amenunuliwa na hao mafisadi. Unasema anakurupuka na kuchezea dola. Je umeuona huo ushahidi halafu ukawa wa uongo wakati yeye hajaupeleka. Kumbuka ndugu yangu ushahidi ameambiwa aupeleke jumatatu sasa wewe umejuaje kuwa wa uongo. Humu ndani kweli tunawatu waliochanganyikiwa. Huko kutumwa kwenu kuna igharimu nchi na watu masikini jamani. Waoneeni huruma hao jamani. Kwanini tunakosa uzalendo hivyo.
 
I can't understand the poor sods who comments against mlonga trusi! What do they have for brain? The said that he has proofs -electronics and in printing ,cosa voi cretino? ,siette tonti magamba!capito?
 
naamini tunahitaji kuwa na subira kwa hiyo jtatu tunaweza kupata zaidi ya nini na kwa nini aliamua kusema hivyo ... tusimlaumu kana kwamba kakurupuka naamini anajua atendalo
 
Du jamani Msemakweli ni mpiganaji je? mlitaka nani amwage hadharani mbona mambo haya yalijulikana humu JF mapema mpaka memorandum za kagoda zimetolewa humu ndani tukazijadili
Sasa Msemakweli kama kazipatia humu na kuziweka hadharani mnamlaum sasa ni nani joga
Heri kuwa kiherehere kama mbwa katika msafara wa wanyama wote simba na tembo wakiwemo kuliko kuwa kondoo anayefuata nyuma akijua nini kimetokea na kunyamaza
Hongera msema kweli ipo siku watakuelewa watanzania bila kujali itikadi
 
na mimii mje mnikamate!!<b>LOWASSA HAWI RAISI WA NCHI HII!LABDA NYUMBANI KWAKE KWA MKEWE!IPO SIKU YAJA MAGAMBA MTAKIONA CHA MOTO!</b>
<br />
<br />
Safi ndugu, we waache kuna siku tutaamua.
 
Polisi kazi yao ni kulinda mafisadi kwa sababu wao ni wezi wakuu.
 
duh! inadhihirika sasa kuwa serikali hii yote ni corrupt! yaani mtu anatoa taarifa za watu wanaohujumu uchumi wetu badala ya polisi kumlinda wao wanamtafuta wakamhoji? aisee!

That's the Tanzania they want
 
Back
Top Bottom