matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960

Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

uwepo wa watu kama wewe,huwa namshukuru MUNGU kwa kuumba dole la kati..av a nice weekend!!

Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

Ni uamuzi usio na mantiki:

a. Rais Kikwete alipozungumzia suala la wizi wa EPA alitaja kama ni "uhalifu mkubwa".

b. Kwamba ni "uhalifu" halina shaka kwani kuna baadhi ya wahusika wako mahakamani na wengine wakiendelea na kesi zao taratibu.

c. Isipokuwa wale waliofanya hivyo kwa kupitia KAGODA.

Sasa

a. Kagoda haikufanya uhalifu - au ilifanya. Maneno ya JK hayakuwa na qualification yoyote ile

b. Kama Kagoda ilishiriki "uhalifu huu mkubwa" ni wazi wapo wahalifu mle ndani.

c. Kwa miaka karibu sita watu wa KAGODA tumeambiwa hawajulikani n.k n.k

Sasa Msemakweli kama raia kaja na vile ambavyo anaamini (na mimi nakubaliana naye) ni ushahidi mzito dhidi ya baadhi ya wahusika wa Kagoda. Polisi walichotakiwa kufanya kwanza:

a. Kumpa mkono wa shukrani kwa kuwaonesha mwanga

b. Kumhakikishia Ulinzi wake - kwani tunajua yanayoweza kutokea.

c. Kuwasiliana mara moja na DPP iili DPP aanzishe uchunguzi.

Ikumbukwe sisi wengine tulikataa kabisa ile kamati ya "EPA" ambayo iliundwa na Ikulu. Tuliikataa kwa sababu ilingilia kazi za DPP.

Ninachukulia jambo hili kama limetokea kwa minajili ya kumtisha au kumpa kashkash ni jaribio dhaifu la woga wa watawala. Katika alichosema Msemakweli na ushahidi wote uliopo mbele yetu kuna mawili tu (jambo la tatu litaangukia kwenye uhalifu - kwani hakuna uhalifu nusu):

a. Kagoda ni wahalifu

b. Kagoda si wahalifu.

Kama Kagoda ni wahalifu wanatakiwa watiwe pingu na siyo kurudisha fedha tu halafu tusema "asante".

Msemakweli tuko pamoja.

Kama Kagoda ni wahalifu basi

Nimeota ndoto, iko hivi.

Mbele kuna mtu yuko mbele ya kichaka kinene na giza, akawa anajiuliza, je kuna nini ndani ya hiki kichaka? Kisha akaamua kuokota jiwe na kulirusha kwenye kile kichaka. Hakujuwa, na wala hakutaka kujuwa nini kitatokea. Lakini ukweli ni kuwa moja katika mambo matatu yafuatayo linaweza kujitokeza:

1.ama hakutakuwa na kitu kitakachotokea kwa sababu ya utupu uliomo ndani ya kichaka hicho chenye giza nene.

2.ama atajitokeza sungura mnyama, nawe waweza kumwacha aende zake, au kumfukuza na ukimkamata utakuwa umepata kitoweo siku hiyo, na

3. ama litaibuka joka kubwa likakuzinga mwilini na kukubana mbavu hadi zikavunjika vunjika na kukumeza.

Yule mtu aliendelea kurusha mawe bila tukio lolote, inawezekana ni kwasababu yule mnyama atakauwa amelala kwa uchovu, au ni kwasababu anavumilia tu akijua huyu ni mpitaji tu ataondoka na kuendelea na safari yake.

Uwezekano wa kuzongwa na hilo joka, unazidi kuwa dhahiri kadiri yule mtu anavyoendelea kurusha mawe, je ni nani shujaa atakayetoa maisha yake ili kumwokoa huyo mtu mchokozi pindi atakapokuwa kinywani mwa lile joka lenye hasira, macho mekundu na njaa? Kuna uwezekano mkubwa kwa marafiki wote wanaoendelea kumchochea na kumsifu kuwa hatadhurika kwa kuwa ana mbio nyingi na anaweza kupiga mbio kali na kujiepusha na hatari yeyote, watakimbia na kumwacha peke yake, au wataliwa pamoja naye! Mbio kali, uchokozi, sifa za maswahiba, kurudia uchokozi, ni dalili ya mtu atakayeishia mdomoni mwa joka na maswahiba watakimbia na kupotea....ama kuliwa pamoja naye. Je nini maana ya ndoto yangu hii niliyoota?
Ni uamuzi usio na mantiki:
a. Rais Kikwete alipozungumzia suala la wizi wa EPA alitaja kama ni "uhalifu mkubwa".
b. Kwamba ni "uhalifu" halina shaka kwani kuna baadhi ya wahusika wako mahakamani na wengine wakiendelea na kesi zao taratibu.
c. Isipokuwa wale waliofanya hivyo kwa kupitia KAGODA.
Sasa
a. Kagoda haikufanya uhalifu - au ilifanya. Maneno ya JK hayakuwa na qualification yoyote ile
b. Kama Kagoda ilishiriki "uhalifu huu mkubwa" ni wazi wapo wahalifu mle ndani.
c. Kwa miaka karibu sita watu wa KAGODA tumeambiwa hawajulikani n.k n.k
Sasa Msemakweli kama raia kaja na vile ambavyo anaamini (na mimi nakubaliana naye) ni ushahidi mzito dhidi ya baadhi ya wahusika wa Kagoda. Polisi walichotakiwa kufanya kwanza:
a. Kumpa mkono wa shukrani kwa kuwaonesha mwanga
b. Kumhakikishia Ulinzi wake - kwani tunajua yanayoweza kutokea.
c. Kuwasiliana mara moja na DPP iili DPP aanzishe uchunguzi.
Ikumbukwe sisi wengine tulikataa kabisa ile kamati ya "EPA" ambayo iliundwa na Ikulu. Tuliikataa kwa sababu ilingilia kazi za DPP.
Ninachukulia jambo hili kama limetokea kwa minajili ya kumtisha au kumpa kashkash ni jaribio dhaifu la woga wa watawala. Katika alichosema Msemakweli na ushahidi wote uliopo mbele yetu kuna mawili tu (jambo la tatu litaangukia kwenye uhalifu - kwani hakuna uhalifu nusu):
a. Kagoda ni wahalifu
b. Kagoda si wahalifu.
Kama Kagoda ni wahalifu wanatakiwa watiwe pingu na siyo kurudisha fedha tu halafu tusema "asante".
Msemakweli tuko pamoja.
Kama Kagoda ni wahalifu basi

Watanzania nafikiri tunatakiwa kutafuta a turning point. Kama serikali iliwaomba raia wake wawasilishe ushahidi dhidi ya Kagoda, akajitokeza mtu aliye na ushahidi badala ya kuuchambua na kufanya maamuzi ya kuutumia au kuuacha mnaamua kumpa kashikashi mtu mliyemuomba msaada huo.

Watanzania tukiipata hiyo turning point, tuka-flip everything na kuweza kuweka shinikizo hawa watu washitakiwe....na watashitakiwa. Msemakweli katupa mfano hapa na tunatakiwa kumuunga mkono hata kama serikali wakiamua kum-discourage.

Ki sheria me nadhani anahaki ya kuhojiwa, Ila serikali inataka kujua nani kampa data hizo haina kingine sasa serikali imepigwa kibao sasa inatafuta jinsi ya kuwaumiza watanzania sasa hii ndio mwanzo wa nchi kuchafuka taratibu hata Rwanda kulianza hivyo hivyo kimzaha mzaha. Na wako wengi wa kupasua bomu mengi tuu. Hapo inamaanisha kuwa KATIBA ya nchi hii inatizama watu maarufu ila sisi makapuku hatuna haki wao wakikosa wanalindwa sana na sheria ila me maskini nikisema duuuh inakuwa mkuki kwanguruwe ila kwa bianadamu mchungu sana.

Hii serikali hawajui nini kinapikwa hapo huo ni mtego kwa umakini wao waangalie sana wasije aibika zaidi.

My Take.

Usalama wa taifa mnachotwa kidogo kidogo kama hamuangalii alama za nyakati

Mnatengenezewa njia ya kwenda the Huge kama hamjui Human rights wako nyuma hapo sasa nyie nendeni kichwa kichwa tuu

mtashangaa baada ya muda wanaanza kutinga hapa

Kama ni defamation, anayestahili kulalamika ni aliyekuwa defamed na sio Serikali! Haya magamba yameoza sasa!Ya Lowasa yameingiaje hapa?

Umekosa chakuandika?

Hapa tunamsikitikia huyu Mropokaji!

Hii ni defamation!

hatoki mtu hapa...
which style are you taking about?
Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Du!!!!

Bora alivyoanza kuongea na waandishi wa habari, na kuweka copy za ushahidi wake; there is nothing they can to to stop this now! Na zaidi ya kumhoji, hawana balls wala guts za kumfanya chochote!
Nafikiri Msemakweli si mjinga anajua anayempelekea kesi ni nani vilevile anajua waamuzi wakubwa ni wananchi ndio maana anajitahidi kuiweka kesi wazi ili watu wote tujue na uamuzi utakuwa wetu si wa mahakama iliyomali ya ccm.Polisi,jeshi,mahakama na wanasheria wote wa serikali ni mali ya ccm....ukweli ndiyo huo full stop.
So hata Msemakweli achacharike vipi' hapo ni sawa na kesi ya nyani unampelekea ngedere.
Kilichobaki hapa ni tukae na kutafakari ni jinsi gani tutaikomboa nchi hii kwa mara ya pili kutoka kwa hawa
wakoloni weusi.

mkuu hawataelewa hata wakijinyonga watu 1000, huyu JK na serikali yake ya kifisadi wanaroho ya jeuri na dharau sana, kama wanadiliki kuua wanyonge na rasilimali zao huko migodini ukijinyonga wewe utakuwa umewapunguzia hasara ya wao kutumia risasi. mtumba ekadu vyaagea maya.
Hata akina Mubarak, Gadaffi (tena huyu alikuwa anawaita wakombozi "rats") na madikteta wengineo nao walikuwa wanasema hivyo hivyo! Kumbuka kuwa hakuna dola ya kibinadamu inayoweza kudumu milele duniani!ingia usikilizie habari yake
Mkuu Feedback, hapo kwenye bold pls! hivi sisi tutakuwa na huwamuzi gani? wakati ccm ndiyo imehodhi kila kitu? nifafanulie kidogo mkuu!Nafikiri Msemakweli si mjinga anajua anayempelekea kesi ni nani vilevile anajua waamuzi wakubwa ni wananchi ndio maana anajitahidi kuiweka kesi wazi ili watu wote tujue na uamuzi utakuwa wetu si wa mahakama iliyomali ya ccm.

yale yale ya lema aliyoyasema kuwa polisi na usalama wa taifa ni mali ya mafisadi, bila watz kuamka na kudai uhuru wetu tumekwisha.

This's a dream, isn't it? Can't have any practical meaning on earth!
What's been tabled / posted here is Msemakweli kakamatwa na polisi, ww unaleta ndoto!
Ondoa uchuro wako hapa.....