Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Itakua mahojiano tu ya kawaida,watamuachia na kuwasilisha ushahidi wake DPP! Nasikia Chadema wamemkasilikia sana Msemakweli kuwa amepola hoja yao ya Kagoda!
Hii taarifa umetokanayo wapi kiongozi??tunaomba source ili tujiridhishe, tusije tukarukia band wagon ambayo hatujui wimbo uimbwao unamaana gani!!!
 
Ya Lowasa yameingiaje hapa?
Umekosa chakuandika?
Hapa tunamsikitikia huyu Mropokaji!
Hii ni defamation!
hatoki mtu hapa...

Kwenye defamation aliyekuwa defamed ndo anashtaki kwani kashtakiwa na nani kati ya aliowa- defame?
 
Du!!!!
Bora alivyoanza kuongea na waandishi wa habari, na kuweka copy za ushahidi wake; there is nothing they can to to stop this now! Na zaidi ya kumhoji, hawana balls wala guts za kumfanya chochote!
 
which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Nani kakwambia kuwa Msemakweli hana ushahidi? Ushahidi hautolewi polisi kwani polisi wetu tunawajua wanaweza kuupoteza; hivyo basi mtu aliye makini kama Msemakweli hawezi kuwaachia polisi vielelezo vyake, kwani atavitoa mahakamani kama vielelezo!!

Kumbuka ni huyo huyo Msemakweli aliyewalipua wakina Mahanga, Nchimbi, Masaburi na Lukuvi kuhusu vyeti vyao vya elimu feki na mpaka sasa kesi inapigwa dana dana kwani magamba yanaogopa kuabishwa mahakamani. Mnaosema kuwa Msemakweli kakurupuka hamumjui kuwa ni mwanasheria/mtu makini na anajiamini!
 
Unatakiwa utulize akili ili ujue comment za realy Great thinkers, ulitaka Invisible aseme nini zaidi ya kusikitika? Invisible amesema si mchezo halafu akaweka alama hizi................, je unajuwa maana yake?

Kuihusisha akili katika suala lililo wazi kama hilo ni matumizi mabaya ya akili. hapo u great thinkers unajitokezaje???huoni kama msemakweli yupo right??upofu huo katika fikra nini hasa maana yake katika taifa??kuna haja ya kupata comprehensive definition ya great thinkers, nadhani tuna great thinkers wa aina humu! great thinkers wa mambo ya hovyo na great thinkers wa mambo ya maana.
 
Psychiatric! ULIINGILIWA KIMAUMBILE NA BABAKO MARA TU BAADA YA MAMAKO KUKUZAA. UMEPATA PERMANENT MENTAL DISABILITY.
#209 Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 18th August 2011

Posts : 155

Rep Power : 21



[h=2][/h]
 
Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

Nina uhakika hukufatilia taarifa ya jana kwenye ITV kuhusu MsemaKweli na kama ulifatilia nahisi hukuelewa, halafu kama ushahidi upo au hautoshelezi, mahakama ndo yenye uwezo wa kuthibitisha na sio mtu baki kama wewe! na vilevile uellewe hakuna mtu mwenye maelezo ya kina kuhusu sababu za kukamatwa/kuisaidia polisi so na wewe acha kukurupuka kwa hoja, just be patient and the truth may be revealed.
 
Unaonekana unatabia za umbea umbea....!!!
 
kuna watu mnatukana matusi humu.....mod washughulikie plz
 
NO! there is something behaind this insue!!
 
Utasikia uchochezi na uhaini

Mkuu uhaini unakujaje wakati yeye anaongelea watu i.e RA na Manji??? Kama Zanzibar yenye "Rais" na taasis nyeti hakuna kesi ya uhaini, iweje kwenye kesi hii kuwe na kosa hilo?? Au hawa watu siku hizi wamekuwa ndo nchi!!!



Kama ni mchochezi basi itabidi waandae hayo mashtaka tuyaone...


I wish I were a lawyer!!
 
Kuihusisha akili katika suala lililo wazi kama hilo ni matumizi mabaya ya akili. hapo u great thinkers unajitokezaje???huoni kama msemakweli yupo right??upofu huo katika fikra nini hasa maana yake katika taifa??kuna haja ya kupata comprehensive definition ya great thinkers, nadhani tuna great thinkers wa aina humu! great thinkers wa mambo ya hovyo na great thinkers wa mambo ya maana.
Bado hujamuelewa Invisible, naomba ushirikishe ubongo wako utamuelewa na usitumie emotions.
 
Jamaa yuko sahihi;ila kinachotakiwa ni DPP kufungua kesi ya kuwashitaki wanaotuhumiwa katika sakata zima la Kagoda.Halafu askari na jeshi la polisi kwa ujumla ni vilaza ile mbaya hao watuhumiwa hata siku moja sijawahi kusikia wamekamatwa na kuhojiwa ila mwenye uchungu na nchi yake ndiyo anaonekana amekosea!Yaani inashangaza sana,polisi wamefikia hatua wanawaogopa hadi wahindi!Katika hali kama hii,ni lazima vibaka na majambazi watusumbue sana;kwasababu wanauona udhaifu wa jeshi la polisi.Kazi zinawashinda,huwezi kuhangaika na mlalamikaji kiasi hicho wakati mtuhumiwa yupo.Kwa maana hii kazi inafanywa vice-versa na ufanisi ni sawa na hakuna.
 
Nimeahirisha....mimi pia katika kutoa mchango wangu nilkuwa najiandaa nijitokeze hadharani ili kupambana kwasababu ni ushahidi wa mambo mengi mazito........
Kumbe ningejitokeza na kukamatwa watu wangeishia kuajadili kwa keyboard tukio la mimi kukamatwa huku wakizidi kugawanyika kimtazamo??
Duh........mbaya zaidi ni kuwa tunapoongelea jambo tunaonekana kuwa ni timu moja yenye nguvu hasa, utekelezaji ukianza wengine hujificha nyuma ya migongo ya wenzao mithili ya mchezaji aliyechoka uwanjani anapozikwepa pasi kwa kujificha nyuma ya mpinzani wake ili asipasiwe.......watu wangeni support kwa message, wengine.......
Kwa kweli this is......ah...
 
mbona mie niliomba kibali kwa mod nimtukane na nihii sijajibiwa hadi saa hizi? kuna upendeleo eeeh, hebu niambie huyo aliyetukana ametukanaje na mimi nimbe tena kibali
kuna watu mnatukana matusi humu.....mod washughulikie plz
 
hapa hakuna ushabiki leta ushahidi maana huyu jamaa kawachafua watu
inabidi aswekwe mahakamani

True, kama amewachafua watu lazima ashtakiwe, lakini kwani waliochafuliwa wamekwishafungua kesi?
 
Psychiatric! ULIINGILIWA KIMAUMBILE NA BABAKO MARA TU BAADA YA MAMAKO KUKUZAA. UMEPATA PERMANENT MENTAL DISABILITY.
Lugha ya mawasiliano inatakiwa uwandike Brain. kingereza sio kigenzo cha usomi Kenya mpaka mataahira wanaongea kiingereza. pole sana young boy.
 
Muulize mamako ndo analo jibu

Sasa wewe Kiritimba ... mbona unakosa heshima na hekima kwa pamoja!! Ni kitu gani kimekuudhi ktk ndoto yangu? Au kwa vile umejificha ktk jina la kiritimba? Watu wengine tunaweza tukawa baba kama si babu zenu? au ndugu? au tunakwenda msikiti mmoja? au jirani? au kanisa moja?

Hata hivyo kuvunjiana heshima namna hii haikusaidii kubaki na baraka zozote kutoka kwangu au kwa Allah au kwa Mungu wetu...Je umepata nini sasa kwa jibu lako hilo? Nakutakia raha ya matukano yako, ukae ukashibe kashfa na baraka za matusi yako. Mzee sn2139
 
Back
Top Bottom