Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!

Nduguyangu mafisadi wanakupakata nini ?

Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!

which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Afadhali aishie segerea tu!

Mtu mmoja hawezi kuivuruga nchi.
AK-47, ni jambo la kushangaza na kushtua kusikia majina yaliyotajwa kumbe ndo dola yenyewe (kwa mujibu wa JeyKey)Kwa hiyo dola ndio iliyotuhumiwa hapa !! ama dola ipo kwa niaba ya watuhumiwa na hii imeanza lini ?

Aangalie wanaweza mpotezea!
Hivi wewe zinakutosha kweli nani alikuambia watu wanakuja JF kuangalia ushahidi.hapa watu wanakuja kuchungulia hakuna ushahid wowote

Jamani huu ni uwanja wa great thnkers. Msikashifu mapema bila utafiti. Msemakweli kafanya utafiti wa miaka miwili nyie mnadai kakurupuka. Nyie ndo mnakurupuka. Mtuhumiwa hakamatwi badala yake mtuhumu hilo ndo lakujadili na siyo upupu wenu huo.

You shouldn't hate him if you believe in democracy and transparency, let time give solution to what is pertaining.
Ukisoma comment nyingine unajiuliza tunafanya mzaha au ndiyo upeo wetu wa kufikiri?!!!!!!!!!
NIONAVYO MIE JUU YA MSEMAKWELI
Huyu Msemakweli ni mtu makini (smart) kwa mujibu wa mambo yake na mpangilio yake. Nahisi wengi hawaelewi kwanini aliamua kuweka adharani kile alichotaka kupeleka kwa DPP.
Huyu bwana alijua fika kuwa akimpelekea DPP vielelezo hivyo kimya kimya watamtia mguvuni na waTz hatutakuwa na habari na kinachoendelea hivyo ikabidi aweke "life/safety insuarance" katika jamii kwa kuweka wazi hii taarifa. Jiulize; hata baada ya kuhaidi kwenda kwa DPP mbele ya Camera, bado kakamatwa mchana kweupe na Je angeenda kimya kimya tungemsikia tena?
Alisema ana ushahidi na baadhi kauonyesha na kusisitiza ushaidi mwingine hakuonyesha mbele ya camera lakini atauwakilisha kwa DPP. Uenda hapa ndipo alipoteleza but i think he is smart enough to keep many copies!
JIULIZE:
Kama fedha za walipa kodi zilitumika kuchunguza wezi (KAGODA) na hao wachunguzi wakashindwa kupata wezi ni akina nani; Leo DPP anapelekewa ushahidi wa wezi ni akina nani ( free of charge) anasema yuko busy mpaka wiki ijayo! Je huyo DPP anastahili kuendelea kukalia kiti hicho?

Kwani JF members wote wapo Tanzania? au hujui kama nchi nyingine saa hizi ni asubuhi?
Kwa hiyo dola ndio iliyotuhumiwa hapa !! ama dola ipo kwa niaba ya watuhumiwa na hii imeanza lini ?

Usiwe na papara,jitahidi kuwa na subira mkuu! unachomkomandi Pro. hapo ni nini? au yeye kujitolea kwake ndiyo imekuwa nongwa?

Unajua inamcost kiasigani mpaka unapata data kama hizo? kama unaona anachele kuleta hizo data basi nenda mwenyewe hapo osterbay.