ameyataka mwenyewe, kukurupuka ni kubaya!
kwani rais wako pia anawajuwa wote alishatamka hadharani atakayerudisha pesa atamsamhe, hata wauza unga anawajua lakini mashtaka au kuchukuwa hatua hamna kazi kweli ipo...Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
Jamani huu ni uwanja wa great thnkers. Msikashifu mapema bila utafiti. Msemakweli kafanya utafiti wa miaka miwili nyie mnadai kakurupuka. Nyie ndo mnakurupuka. Mtuhumiwa hakamatwi badala yake mtuhumu hilo ndo lakujadili na siyo upupu wenu huo.Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
You shouldn't hate him if you believe in democracy and transparency, let time give solution to what is pertaining.Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM
Ya Lowasa yameingiaje hapa?haki ya mungu ulaaniwe!!!!!wanaoivuruga nchi na wewe upo kwa michango yenu hiyo!!mimi nasema lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii hata siku moja!!
Haya ndiyo alikuwa akiyafanya Gaddafi na serikali yake kuwanyima watu uhuru wa kuongea.Anakamatwa mlalamikaji watuhumiwa wanapeta nchi hii inatia kinyaaa
Taarifa zilizotufikia wakati huu ni kuwa yule jamaa 'aliyewalipua' Rostam, Manji na wenzao jana; kakamatwa na Polisi toka ofisi ya DCI (Manumba) na anaendelea kuhojiwa.
Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyoahidi hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.
Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.
Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!
KUMBUKA KAULI YAKE:
Haya ndiyo alikuwa akiyafanya Gaddafi na serikali yake kuwanyima watu uhuru wa kuongea.
Hao hao walio mkamata si walitamka wazi mwananchi mwenye ushahidi awapelekee ili waufanyie kazi inakuwaje sasa.
Au ndo kutekeleza Ilani ya chama cha Magamba "...tutakufa tukiyatetea magamba"
Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!