GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,736
- 109,328
1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda
2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara.
3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi
4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili ( Oya Oya ) ili mradi tu uwe Unawafurahisha wana Simba SC wenye Upofu wa kuona mbali Kifikra.
5. Acha na Usipende mno Kudanganya kwa Mambo ambayo yako wazi tu kama hili la Yanga SC kuwa Mabingwa kwa Msimu huu na Kung'ang'ania kuwa Simba SC yetu itakuwa Bingwa wakati Kiuhalisia na Kimazingira haiko hivyo na haitowezekana
6. Pendelea sana Kuzungumzia Mafanikio na Mikakati ya Simba SC hasa katika Kujiendesha Kisasa kama Giants Wenzetu akina TP Mazembe, Al Ahly na Mamelodi Sundowns
7. Kuwa Muungwana hasa pale Simba SC ikifanya vibaya kwa Kukubali Makosa na kamwe siyo Kulialia na kuja na Ngonjera nyingi ambazo kwa wenye Akili na tunaojua Mpira halafu tunaufuatilia sana huwa tunakushangaa na hata kuanza Kukupuuza kama pia siyo Kukudharau.
Mwisho GENTAMYCINE nakutuma kwa Uongozi wa Simba SC kuwa waambie wenye Upeo tulishajua na tunajua Yanga SC ndiyo Mabingwa wapya wa NBC Premier League na wala msituzuge ( wasituzuge ) katika hili ila tunawaomba waiandae Timu kwa Kuifunga Yanga SC Jumamosi ya tarehe 28 May, 2022 kule Mwanza katika ASFC Semi Final na tukiingia Fainali tuchukue Ubingwa na zaidi ya hapo jiandae kupokea Lawana zetu nyingi na ikiwezeksna hata Makofi mtapigwa na Ngumi mtazichezea mubashara tukikutana Mitaani au Viwanjani.
Nimemaliza.