Msemaji wa Serikali ataongea na vyombo vya Habari saa 4 MAELEZO leo kuhusu Tanzania yetu.
Chanzo: Tweeter
sana sana vitisho,Subiri hiyo saa 4
Jitahidi dogo!! Walikuepo kina Kolingba, Kingunge, Nape etc. waulize leo hawana hamu!! wewe ni cha mtoto, soma tarakimu ungeanza na kujishughulishaWewe unajua waambie watanzania sasa
Ndio tatizo lenu hilo!ni vema ungesubiri kusikia atasema nini au upuuze kabisaAnataka kukanusha kuwa Lissu hajapigwa lisasi? Au anataka kukanusha kuwa serikali haihusiki....
Marehemu ameshakufa ila bado hajachomwa moto. Labda anakuja kuomba merehemu asichomwe moto!Kuna nini tena kimetokea nchini.................... Maana kama ni kabali tushakufa sasa.
Labda kama wanasema wanalegeza Mambo kidogo.