Msemaji wa Serikali kuongea na vyombo vya Habari saa 4 asubuhi MAELEZO Dar es salaam leo

Hujalazimishwa kumsikiliza kama unajua kila Kitu endelea na kazi zako waache ambao hawajui.Watz bwana kila mtu anajua kila Kitu kumbe hakuna Kitu.
hawezi kuwa na la maana kwa hali tuliyonayo. Sana sana atasema uongo aliopewa kuusema. No true statement can he expected from these yes men
 
hawezi kuwa na la maana kwa hali tuliyonayo. Sana sana atasema uongo aliopewa kuusema. No true statement can he expected from these yes men
OK ngoja tusubiri huo uwongo wake kwa umma kwa mtazamo wako
 
Tangu nchi hii ipate uhuru sijawahi ona msemaji wa Serikali kama huyu jamaa!!! Hivi hii kazi alipewa Kwa vigezo gani?
Lakini ya nini buana acha wafu wazikane!!!! Awamu ya ajabu hii haijawahi tokea!!! Itakuwa simulizi kwenye vitabu na maandiko ya historia ya nchi hii!!!!
ndugu yangu unaonekana unaroho mbaya ...seng...e. nahisi ni wale watu wa mtaani ambao wanatabia za kizandiki na ushirikina,sio kwa uharo ulioandika hapa hata reasons huna, nikosoe kama siko sahihi
 
Atakuwa anataka kuwaeleza nini sasa, au kuwaambia kuwa katika kuonyesha uzalendo radio na tv wawe wanaweka zile ngoma za Mzee Nyunyusa kabla ya habari!
 
Anataka kukanusha kuwa Lissu hajapigwa lisasi? Au anataka kukanusha kuwa serikali haihusiki....
Hakuna kiongozi yeyote wa serikali aliyeongelea hili officially ............ sasa leo tuje kumsikiliza msemaji wa serikali na kumuamini!! Seriously!!?
 
Saa nne tunamsikiliza baba nillan,au baba tiffah au baba Abdul bwana Dangote....Tanzania ubuyu kwanza afu mambo mengine ndio yanafuatia!
 
Wanataka kukanusha deni aliloliibuwa kabwe au kukubali deni lenyewe na utaratibu kuwalipa?naomba iwe kupewa tarehe ya kwenda kuchukuwa Noah yangu
 
Aje atwambie noah zetu zimefikia wapi mana leseni zinazidi kuelekea ku-expire.
Pia atupatie mrejesho wa albadiri hali yahewa ikoje pande iyo
Nasikia bichwa komwe limejipigiza bafuni likachemsha kuhudhuria madhabahuni pa Bwana.

Ikaangwe chumvi imechanganywa na mtama, pilipili na kipande cha....
Shubarmiti!!!
 
Back
Top Bottom