Msemaji wa Serikali kuongea na vyombo vya Habari saa 4 asubuhi MAELEZO Dar es salaam leo

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Msemaji wa Serikali ataongea na vyombo vya Habari saa 4 MAELEZO leo kuhusu Tanzania yetu.
msemaji.JPG

Chanzo: Tweeter
 
Kuna nini tena kimetokea nchini.................... Maana kama ni kabali tushakufa sasa.

Labda kama wanasema wanalegeza Mambo kidogo.
 
Tangu nchi hii ipate uhuru sijawahi ona msemaji wa Serikali kama huyu jamaa!!! Hivi hii kazi alipewa Kwa vigezo gani?
Lakini ya nini buana acha wafu wazikane!!!! Awamu ya ajabu hii haijawahi tokea!!! Itakuwa simulizi kwenye vitabu na maandiko ya historia ya nchi hii!!!!
 
Kuna nini tena kimetokea nchini.................... Maana kama ni kabali tushakufa sasa.

Labda kama wanasema wanalegeza Mambo kidogo.
Marehemu ameshakufa ila bado hajachomwa moto. Labda anakuja kuomba merehemu asichomwe moto!
 
Wabunge wajiadhari sana.... Watu wasio julikana wataendelea kuuwa wabunge hahah..... Update zote nafikiri nitazipata hapa hapa jf.....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom