Msemaji wa Serikali kuongea na vyombo vya Habari saa 4 asubuhi MAELEZO Dar es salaam leo

Ila si ni yule aliyemtuhumu Lissu kutoa ushauri bombardier yetu ishikiliwe? Labda anakuja kutoa mrejesho wa bombardier yetu kama tumemeliza kulipa deni. Mkimaliza deni hilo wanashikilia wengine!
 
Tatizo ni pale Wandishi wetu hawanaga maswali ya kumfikirisha Muhusika kuendana na uhalisia uliopo ktk jamii
 
Huyu naye anataka kuongea nini? Kipi tusichojua? Mbona tuna habari kamili na za ukweli kumzidi hata yeye? Anajichosha tu na kupoteza muda wake.
Hujalazimishwa kumsikiliza kama unajua kila Kitu endelea na kazi zako waache ambao hawajui.Watz bwana kila mtu anajua kila Kitu kumbe hakuna Kitu.
 
Tatizo ni pale Wandishi wetu hawanaga maswali ya kumfikirisha Muhusika kuendana na uhalisia uliopo ktk jamii
Umekuja kwenye hoja yangu...Tundu Lissu Dunia nzima ni hao hao waandishi wako wameandika ktk magazeti yetu.
 
Muuliza maswali ambaye mzuri ni Masud alimuuliza Lipumba maswali mpaka anatoka pale Studio msikilizaji tayari ameshapata jibu ni nani mbaya wa Cuf
 
Back
Top Bottom