BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 328
- 414
Asituletee mapishi tenaJamaa atakua alipigwa “ warning letter” sio bure.
Ugali alitupia video Instagram anasonga ugali
Wanafiki tu hao. Wanataka kuja kudanganya tuBila ya haki bila uhuru wa watu hizi nipropaganda za hovyohovyo
Bila uhuru wa habari bila uhuru wa kukusanyika na kupashana habari, hizi za msigwa ni propaganda za hovyohovyo tu.
Apuuzwe na ccm yake ya wanafiki