Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa Taarifa ya Wiki leo Septemba 12, 2021

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
320
412
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii.

1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini
2. Majibu ya maswali yenu
3. Maoni na ushauri

#KaziIendelee

IMG-20210912-WA0000.jpg
 
Bila ya haki bila uhuru wa watu hizi nipropaganda za hovyohovyo

Bila uhuru wa habari bila uhuru wa kukusanyika na kupashana habari, hizi za msigwa ni propaganda za hovyohovyo tu.

Apuuzwe na ccm yake ya wanafiki
 
saiv kaenda dodoma, anywy ubunifu mzuri hap US whitehouse ni kila la siku jioni
 
Huyu kilaza tu ....hana ubunifu na hana mvuto ashukuru tu Magu sababu ya familia amefika Director ....Mungu mkubwa
 
Bila ya haki bila uhuru wa watu hizi nipropaganda za hovyohovyo

Bila uhuru wa habari bila uhuru wa kukusanyika na kupashana habari, hizi za msigwa ni propaganda za hovyohovyo tu.

Apuuzwe na ccm yake ya wanafiki
Wanafiki tu hao. Wanataka kuja kudanganya tu
 
Naye ameingia kwenye bendera kama mwenzake anaye lalamika miguu kwenye chemba
 
Ubaya Ni kuwa msemaji wa serikali Hana tofati na spika ya redio. Yeye Ni mouth piece tu Hana impact yeyote zaidi kusema na kutetea kile alichotumwa hata Kama kina madhara kwake.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom