Msemaji MKUU wa CCM anashirikiana na MAJANGILI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemaji MKUU wa CCM anashirikiana na MAJANGILI

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Aug 31, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama ni kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumteua kada wao na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana kuwa msemaji mkuu wa kampeni ya Kikwete.

  Post hiyo muhimu ilitakiwa ijazwe na mtu safi asiye na doa kwa vile anakuwa ni kioo cha chama husika.

  Mbali na utata wa uraia wa Kinana inasemekana vyombo vyake binafsi anaviruhusu kufanya biashara haramu ikiwemo ya usafirishaji wa meno ya Tembo nje ya nchi.

  Ingawa Kinana anasema hahusiki na biashara hiyo lakini amekiri kuwa ni mmoja wa wamiliki wa Kampuni ya uwakala wa meli ya Sharaf Shipping Agency, iliyohusika kusafirisha makontena yaliyokuwa na nyara za serikali mwaka jana, kabla ya kukamatwa nchini China yakiwa safarini kupelekekwa Hong Kong.

  Nasema ni kosa kubwa la CCM kwa sababu kama Kinana ni msemaji wa Chama na yeye tayari ana madoa,atawezaje kutetea sera ya maliasili inayohubiriwa na viongozi wake na makombora yanayorushwa na wapinzani wao likiwamo la JK kuhusika kwenye wizi wa pesa za EPA?

  Badala ya yeye kuwa mtetezi wao inabidi mwenyewe aanze kwanza kujisafisha kuwa hahusiki na vitendo hivyo viovu kabla ya kukisemea chama.

  Uraia wake bado ni kitendawili, watu wanasema ana asili ya Kisomali na tujuavyo wasomali wengi wanajihusisha na vitendo vya ujangili ukiwemo utekaji nyara wa meli za mizigo.

  Kwa mwananchi wa kawaida ni vigumu sana kukubali au kutenganisha biashara yake ya meli na ujangili unaofanywa na watu wa jamii hiyo.

  Nauliza hivi CCM walikosa mwanachama mtanzania halisi mwenye uraia usio na utata mwenye biashara isiyo na utata, kuwa msemaji wa chama wakaishia kutuletea Kinana anayeshirikiana na majangili kwa kuruhusu vyombo vyake kuihujumu nchi anayodai kuitetea?
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu sifa ya kuwa kamanda wa CCM lazima kwanza uwe na integrity ya mashaka na udemostrate kuwa unaweza umafia, ukitaka kuamini haya iangalie kwa makini timu ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Wote wana nyota za ujemedari katika dhuluma, ulaghai, na utekaji wa mali iwe kwa mtutu au kalamu.
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hahahahahahaha! Hii kali kabisa
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wengine wanamuhusisha na Wateka nyara meli aka Somali Pirats.

  Wengine wanamuhusisha na umoja wa Wasomali wa Kenya na Tanzania.

  Wengine wanasema ana uhusiano na AL Shabaab. Ngoja Yoweri Kaguta Museven asikie.

  Alifanya saana makosa kumshambulia Dr. Slaa na kujipachika kwenye kampeni.
   
 5. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  [FONT=&quot]Hayo mbona madogo sana, Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi wakati wa Serikali ya Mwinyi na ndiye mhusika mkuu wa Kashfa ya Ufisadi ya kwanza kabisa hapa nchini iitwayo "Loliondo". Yeye ndiye alimleta mtu anayeitwa Brigedia aliyemilikshwa eneo lot la Loliondo afanye shughuli za uwindaji na kuhamisha wanyama hai kutoka Tanzania. Ni kutokana na ardhi ya wamasai ya Loilondo kutwaliwa kwa ajili ya mwarabu huyu fisadi ndio maana wamamsai wqkakosa mahali pa kufugia na kuanza kutapakaa mijini kufanya shughuli za ulinzi, ususi n.k.

  Ni kutokana na wamasai wenye mifugo kuondoleawa eneo laao la Loliondo ikawabidi wahamiee maeneo ya wakulima kama vile Kilosa na kwingineko na kupeleka kuwepo kwa mapigano kati ya wafygaji na wakulima na watanzania kufa kila mwaka. Yote haya ni matokeo ya ufisadi wa Kinana
  [/FONT]

  KINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.

  NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.

  UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .

  CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  !
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kumbe Kinana ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini, ngoja nitafute web. ya Pentagone nipenyeze udhia. Huyu jamaa atakuja kuisababishia nchi yetu matatizo halafu yeye anapotea na kuwaacha kina Makamba wakihangaika, bado kidooogo tutafika huko.
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmmh kweli akuanzae, mmalize. Naona Agenda Agusti 30 ya CCM inapata matibabu loh
   
 8. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwaya mimi naomba kuuliza jamani . . .

  Hivi tunavyosikia pembeni kuwa CCM wanahusika na vifo vya:
  • Kombe
  • Sokoine
  • Malima
  • Rutihinda
  • Balali
  • Mwaikambo
  • Chifupa
  • Kolimba
  Si ina maana kuna mtu ambaye anaaminiwa kufanya mipango kama hii? Sasa ni nani huyo jamani?
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kitengo maalumu katika UWT.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Mimi nina habari za Kolimba aliposema CCM imepoteza dira wakamkolimba na Kombe aliposikika akisema atahamia upinzani wakamsingizia jambazi naye wakamkolimba, Balali alikuwa na siri nyingi za wazito naye hawakumchelewesha wakamkolimba wengine sijui. Kwanini usianzishe thread yake.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Kaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, unganisha dots hapo. Big lady kuna ujumbe anaweza kuwa anatuambia. Tutasikia mengi mwaka huu, mbivu na mbichi.
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Asante Superman nafikiri Big lady anaujumbe fulani ngoja tusubiri mimi nimejiuliza sana kwa nini ameuliza kwenye thread ya Kinana?
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CCM ni ya watu wenye ngozi nyeupe. Si ya Waafrika. Kama wewe si shombe-shombe utaishia kuwa "Mkurugenzi wa Kitengo cha Propaganda"
   
 15. M

  Mutu JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  yatisha duh hiki ndicho chama cha Mafisadi
   
 16. M

  Mutu JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Yah si utani
   
 17. M

  Mutu JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  So big lady mwenye kikundi cha assassin ndio huyu msomali basi Slaa akae chuga chuga
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Semeni yote.
   
 19. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #19
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mzee hii nondo wakipata cia mbona kinana atapelekwa g-tmo,
   
 20. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM has a better plan to achieve what India has been able to achieve in a few years. Vote CCM and the dream that every Tanzanian has will be realized soon. Chadema and CUF are fear mongerers and full of dumb policies that perpetuate Xenophobia.
  Vote CCM.
  Long live JK
   
Loading...