Msekwa awa Makamu CCM!

Msekwa ni most dikiteta.Ujue huyu Mzee ana majibu machafu sana na kumbuka kwamba huyu Mzee alifanya Bunge kuwa mali yake.Kumbukeni maamuzi yake .Msekwa kwake CCM kwanza na Tanzania nyuma. Connection ya RA naiona kwa kiasi kikubwa sana nina wasi wasi .

Kumbe Makamu wa CCM anakuwa picked not voted for ?

Malecela nilijua taanguka vibaya .Sasa kazi ya kupanga wizi wa kura na mikakati michafu anaichukua Msekwa na kama Nchimbi atalamba dume basi tegemeeni siasa chafu na za mabavu na makundi than ever .

hakuna kitu kama wizi wa kura ndani ya CCM isipokuwa kama ccm haikutaki, viongozi wake wanakwambia hawakutaki regardless umeshinda au hujashinda. Viongozi wakamilifu na waadilifu ndio wanaotakiwa !

Shukrani !
 
Hivi kweli mnaamini Makamba hatakwi? Na nani, maana JK kamteua juzi tu, sasa msituambia eti ndio amejua ubovu wa Makamba baada ya kumteua. Kwa vyovyote JK alimjua na anamjua Makamba vizuri zaidi kuliko sisi wote hapa. Kama watamtosa sidhani kama itakuwa ni kwa sababu ya ubovu wake. Kumbuka, Makamba alipoteuliwa alisema "kipele kimepata mkunaji"!
 
Kitila hapo unapoint kubwa, lakini sidhani kama walipomfikiria Makamba walifikiria kasheshe za kisiasa za siku hizi. Nadhani walikuwa wanamfikiri kuongoze offense lakini hawakuwahi kufikiri kuwa CCM itakuwa kwenye defence. Na hapa unaweza kuona how weak CCM is on defence, na Makamba sidhani kama ni mtu anayeweza kujibu mashambulizi ya kiakili.
 
certainly, yeah. makamba yupo extremely weak intellectually! Hata hivyo sidhani kama CCM wanafikiri kushindani katika level ya kiakili, wao wanaamini katika ghiliba, ujanjaujanja na maguvu na hapo ndipo Makamba anapo-fit!
 
Uteuzi wa Msekwa unadhihirisha kuwa Makamba ataendelea na kiti chake. Lazima kuwe na balance (hususan ktk mazingira ya sasa) baina ya wanasiasa wasomi na vichwa maji, na hapo ndipo Makamba fits the bill...
 
Masatu unasema Makamba ni Kichwa maji au Msekwa... halafu kuna memba hapa anaitwa kichwamaji, so he might have been offended..
 
Masatu unasema Makamba ni Kichwa maji au Msekwa... halafu kuna memba hapa anaitwa kichwamaji, so he might have been offended..

Makamba ndie kichwa maji ( not in negative way) ana kitu kinaitwa "animal spirit" popote yeye anaingia tu hana haja ya kutafakari mara mbili.

Kwako JF kichwamaji post yangu haina uhusiano wowote na jina lako na ushiriki wako hapa
 
sasa haya mambo ya kureveal identity za watu inakuwaje jamain ???? kama kuna watoto wa rais, wa makamba, wa mbowe why reveal them ?? ujinga huu jamani, halafu mnapoanza kuomba michango mnasema tusaidie kujenga JF halafu wapo wale wanaotaka kuibomoa vile vile !
sasa sijui niregard huu kama utoto au ukosefu na nidhamu !
tabia hii jamani sio nzuri, hamuwezi kukaa au kuback up your posts bila kureveal watu ??
 
wewe kama hukuchangia JF kwa sababu zako ni juu yako. Utaalamu wa technolojia unawezesha wengi tu kujua ID au location za watu hapa, blog ya michuzi, au website yoyote utakayotembelea.

usitake kuigeuza issue iwe anti-MODS au anti-JF kama kawaida ya whiners hapa.
 
Masatu unasema Makamba ni Kichwa maji au Msekwa... halafu kuna memba hapa anaitwa kichwamaji, so he might have been offended..

Kwi kwi kwi kwi!!!!! Hahaaaaa, Kichwamaji atakuja amechukia huyo, wewe Masatu jiandae tu, si unajua mtu mwenyewe Kichwamaji?
 
wewe mpinzani wa JF, Gonga kichwa ukutani au kunywa sumu damn kwa hasira, vinyongo na chuki zako dhidi ya JF!

This baby is here to stay na sasa inaboreshwa siku hadi siku!
 
hapo ^^ kula tano ! na mie nile tano hapa chini !

skidmore-cartoon1.jpg
 
Utaalamu wa technolojia unawezesha wengi tu kujua ID au location za watu hapa, blog ya michuzi, au website yoyote utakayotembelea
.
Plz,Nifundishe na mimi....na majina nitayajua?
 
..humu bila vita hamnogi kabisaa!

..halafu vita vingine havina hata maana!anyways...weekend ishaanza!
 
^^ heheeeee !

mie sijiviki uwakili bana ! lakini kama mtu atajivika, they have to proove it !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom