Mkuu tunazungumzia Utumishi wa Umma (Public Service) aliko huyo Mchechu i.e Mtu aliyeajiriwa na serikali. Msigwa ni Mwana siasa habanwi na hizo sheria, kanuni na maadili. Hata hivyo kama Manispaa ya Iringa ina madiwani wengi wa CCM kwa kiwango kikubwa atalazimika kutekeleza ilani ya CCMHapo nimekuelewa. kwa hiyo imekaa kisheria zaidi? Kwa hiyo hata mbunge kama mch. msigwa hapa iringa anatekeleza sera za chama cha mapinduzi?
Ikumbukwe kuwa kukiuka ilani ya Chama kilichopo madarakani inaweza kukugharimu ajira yako na huwezi kukwepa