Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
....
....Babel hiyoooo
....Babel hiyoooo
dodo limeiva, mashallah
....dodo limeiva, mashallah
Kwa lipi alilofanya mkuu?Mbowe kajidhalilisha sana.
Mkuu Naomba sana Mbowe na Lisu wapate kuona hii post yakoKipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
....Mbowe kajidhalilisha sana.
Ndo kinaruhusu ganja???.Mlikua mnaambiwa ccm ina wenyewe mkawa mnabisha,karibu chama cha wanachi
Toto zuri lakini.tuwe wakweli makadaMbowe kajidhalilisha sana.
.....Toto zuri lakini.tuwe wakweli makada