Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Siasa ni mkakati,kumtangaza ni njia mojawapo ya kujizolea wafuasi.jua ya kwamba wema ana support ya watu wengi mtaani ni celebrity.
 
Alikalishwa jembe la watanzania ambalo mimi pia nlimukubali mh. Lowasa itakuwa kwa wema[emoji2] [emoji1] [emoji1] I can now see ni kivipi chadema wamekosa muelekeo kwa kutumia serious issue kuwa siasa na kuanza kutetea watu waovu[emoji49] [emoji49] [emoji49]

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
Watu waovu kama wakina nani embu nielewesheeeee

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.

View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.

Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.

Si vibaya kuhamia cdm, ila Wanafurahisha maana hadi wapatwe na mikasa ndo wanajua kijani ni kubaya

Sent from my SM-G313H using JamiiForums mobile app
 
e9616bf8097743e9a39cc89a50d3c82a.jpg
 
Mboweeee Oyeeee Endelea kuuwa chama ndo dhamira yako kwa sasa Maana hakuna wa kukuuliza Mbabe wa chama
 
kuna picha nimeziona Wema kamkumkumbatia MH mbowe huku MH anatabasamu.

kwann kila alipo mbowe pembeni wema ,tangia ahamie chadema .huwa wanapigiana simu AMA?

mbona hatujaona wanachama wengine wakipewa shavvu kiasi hiki?
 
.....
....Wema umetisha 56,000 viewers wao 30,000 wewe Mtoto Umetisha
 
Back
Top Bottom