Msanii wa muziki Bongo, Ferooz amekana taarifa za kutumia dawa za kulevya


miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,557
Likes
2,648
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,557 2,648 280
Muimbaji huyo amesema taarifa hizo hazipaswi kuaminiwa na wanaozisambaza ni wale wenye nia mbaya ya kumchafua.

“Sijawahi kutumia dawa za kulevya na kama kuna mtu yeyote anayeshupalia hicho kitu na ana uhakika anaweza kuweka dau tuende tukaangalie tuhakikishe, kama natumia sawa atakuwa ameshinda na jamii imejua” amesema.

“Kama nitaonekana situmii niondoke na dau na jamii itakuwa imeshajua situmii kitu kama hicho” ameongeza. Katika hatua nyingine amesema hivi karibuni anatarajia kutoa ngoma yake mpya.Bongo5
 
THE BADDEST

THE BADDEST

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
866
Likes
789
Points
180
THE BADDEST

THE BADDEST

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
866 789 180
Apime yeye na dau abebe yeye imekuwa biashara tena
 
T

Tmuller

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
1,741
Likes
3,526
Points
280
Age
26
T

Tmuller

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
1,741 3,526 280
Mwambie tumemiss kazi zake
 
F

fredism

Member
Joined
Sep 6, 2017
Messages
45
Likes
39
Points
25
F

fredism

Member
Joined Sep 6, 2017
45 39 25
Kuna tetesi kuwa huyu jamaa kawa teja hana sehemu ya kulala anajihifadhi studio kwa fadhila za maproducer kwa mujibu wa mpoki kipindi cha radio efm kuanzia saa 10 jana, je ni kweli maana enzi zake alikuwa anamiliki jeep matanuz kwa sana tu
 
Sirdirashy

Sirdirashy

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
2,264
Likes
423
Points
180
Sirdirashy

Sirdirashy

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
2,264 423 180
Be first to reply Pigana na hali yako
 
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
6,073
Likes
5,463
Points
280
Age
40
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
6,073 5,463 280
Ray c angemchukua ili amuoe
 
escrow one

escrow one

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
514
Likes
617
Points
180
escrow one

escrow one

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
514 617 180
Anatafta kiki ya Wimbo mpya
 

Forum statistics

Threads 1,250,456
Members 481,359
Posts 29,734,236