Msanii wa muziki Bongo, Ferooz amekana taarifa za kutumia dawa za kulevya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,266
Muimbaji huyo amesema taarifa hizo hazipaswi kuaminiwa na wanaozisambaza ni wale wenye nia mbaya ya kumchafua.

“Sijawahi kutumia dawa za kulevya na kama kuna mtu yeyote anayeshupalia hicho kitu na ana uhakika anaweza kuweka dau tuende tukaangalie tuhakikishe, kama natumia sawa atakuwa ameshinda na jamii imejua” amesema.

“Kama nitaonekana situmii niondoke na dau na jamii itakuwa imeshajua situmii kitu kama hicho” ameongeza. Katika hatua nyingine amesema hivi karibuni anatarajia kutoa ngoma yake mpya.



Bongo5
 
Kuna tetesi kuwa huyu jamaa kawa teja hana sehemu ya kulala anajihifadhi studio kwa fadhila za maproducer kwa mujibu wa mpoki kipindi cha radio efm kuanzia saa 10 jana, je ni kweli maana enzi zake alikuwa anamiliki jeep matanuz kwa sana tu
 
Back
Top Bottom