Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata baadhi ya watu kuvutiwa na tamaduni au lugha hizo za kigeni na hatimaye kujifunza na hadi kuimba.
Kwa hiyo unachosema ni kwamba anapumbaza akili wabongo ili aibe nyara za Taifa. Kuna wale wa kuiba hata ukimuona unamjua, huyo anaonekana ameshafika Bongo na haendi popote.

Kujiita masai joseph sijui?huyo bado ni liu Chi nha.
Ana kazi maalum hizi zingine zuga TU. Cheka na nyani utavuna mabua.
Aridhike na vumbi lililopo hapo kwa kipi.

Ni rahisi sana, tatizo hao waliopo wako busy kutafuta makosa ya kipumbavu ya raia wao na kuacha watu km hawa. Huyo mchina ni mtu wa kumuweka karibu mara moja.
Hatua zingine zikifuata.
Mtachekwa sana hapo mbele mwacheni aimbe.