Msanii wa Kichina Akiimba Kiswahili Kwenye Bongo Star Search

So what, kesho utamkuta na nyara za serikali.
Amkeni nyie bongolala huyo anacheza na akili zenu tu, kesho mmeliwa anarudi kwao
 
Kwa hiyo unachosema ni kwamba anapumbaza akili wabongo ili aibe nyara za Taifa. Kuna wale wa kuiba hata ukimuona unamjua, huyo anaonekana ameshafika Bongo na haendi popote.
 
Kujiita masai joseph sijui?huyo bado ni liu Chi nha.
Ana kazi maalum hizi zingine zuga TU. Cheka na nyani utavuna mabua.
Aridhike na vumbi lililopo hapo kwa kipi.
 
Sasa hapo utamdhibiti vipi mtu kama huyo ambaye ameshajichanganya mitaani na ana watu wake kibao ambao ni wenyeji.
 
Ni rahisi sana, tatizo hao waliopo wako busy kutafuta makosa ya kipumbavu ya raia wao na kuacha watu km hawa. Huyo mchina ni mtu wa kumuweka karibu mara moja.
Hatua zingine zikifuata.
Mtachekwa sana hapo mbele mwacheni aimbe.
 
Kujiita masai joseph sijui?huyo bado ni liu Chi nha.
Ana kazi maalum hizi zingine zuga TU. Cheka na nyani utavuna mabua.
Aridhike na vumbi lililopo hapo kwa kipi.
Huu ndio ukweli uliojificha.
Hujakosea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom