CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Hahahahahaha Mkuu.Pale KBV bado papo akikuletea tena utoto njoo nae pale transit tumpe adabu.
vp jamaa ameacha kazi radio uhuru, karibu chadema ila usitagulize ubunge tunachotaka ni ukombozi
huyu jamaa ameacha kazi redio UHURU???
Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa!
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Bado Kingwendu naye! Au M4C haijamfikia?
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Duniani kuna mengi.Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Chadema inakubalika na watu wa cadre zote.Karibu....!
Mtoi nani anamjua zaidi ya ndugu zake na sisi wa JF? Atabaki kutoa matamko ya cdm tu humu jf hamna zaidi ya hapo.Inashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.
CC; chama,