Mkuu umenena yaani CDM kweli hakina viongozi hata huyu muhuni? Kweli kazi mmnayoPamoja na kwamba ninapenda mabadiliko, lakini hii sio sahihi na siafiki. Umaarufu sio uongozi. Huyu Soggy hivi bungeni ataenda kufanya nini? Jamani, ebu tuwe wakweli; hivi tunamuweka kwenye mizani gani tukimsoma Soggy kupitia kwenye ujumbe wa nyimbo zake? Kweli ana uwezo wa kuchambua masuala mtambuka yanayoikabili nchi?
CHADEMA, ni heri kuliacha jimbo kwa CCM (kama kuna mgombea bora) kama kuliko kupoteza nguvu na fedha kwa mtu ambaye sio sahihi.
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa!Mliwabeza sana wasanii wakati wanazuunguka na CCM kwenye mikutano na kampenizao leo hii mmeona ni wa muhimu. Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa.
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Karibu....!
Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa!
Karibu kamanda, hakuna kulala mpaka ukombozi wa kweli
Majangaaaaaaaaaaaaa
Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa!
Kwani huyo MAKONGORO alishawahi kufanya nini, waache wananchi wataamua wenyewe???