Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!
Kwa hiyo vanessa aliacha mziki kisa majizzo? Sidhani kama hii ni kweli maana still alikuwa na backup ya media kibao, clouds, wasafi hata EA.
 
Salamu kina kaka, epuka kuanza mahusiano na mwanamke ambae hata simu ya mkononi hana. Huyo ni kiashiria kwamba ni mwanamke asiye mtafutaji.

Pia kama simu yake ni mbovu ni kiashiria kuwa maisha yake ni magumu na atakuchuna sana.
Naunga mkono huu uzi
 
Mwana CCM akisema CCM imepoteza dira asiwe mtu wa kupuuzwa,iwapo mleta mada ni wa kike amelisema hilo jambo lake asipuuzwe pia
 
Hii ni tabia ya wengi sana mjini, kuna thead moja nimewahi kuona humu ya Dada fulani aliyeambukuzwa VVU na Mwalimu wake ili amtafutie kazi taasisi fulani ya serikali na kweli alipata, kwa ajili hiyo tuseme rushwa ya ngono ni kubwa sana nchi hii, na hili la Ruby ni kwa vile hakumpenda tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom