Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Msanii kazi yake ni kujua nini hadhira yake inataka. Kama walilipuka kwa furaha na kuonyesha vidole viwili ina maana wengi walipenda ujumbe.

Kama wewe na wengine wachache mlichukia haina haja ya kuvunja amani tafuteni burudani nyingine mbadala ambayo itawafurahisha.

Nina imani TOT inaweza kukonga moyo wako
 
Ujumbe Mzito sana kwenu UWT na Polisi.

Dont even think about arresting this guy, leave alone hurting even his hair.

The days of using MabwePande game reserve as your Free zone of Touchier, Mutilate and kill innocent Tanzania who oppose the CCM injustice rule are over.

IMEZUIWA JUU NA CHINI
From now onward we lay down a strictly Civilian Law;
It is against the law at any Time for a motorised Vehicle to enter inside MabwePande forest . MabwePande forest is only accesible through walking. Any body, irrespective of his position in the society,who breaks this law will severely test the Mob Justice immediately.

Boundires Coordinates By Google Map;
[[[[[[[[[[[[South TIP -6.737236,39.076796 Noth Tip-6.678674,39.073892 East Tip -6.704333,39.097395 West Tip -6.686602,39.066324 ]]]]]]]]]]]]

IMEZUIWA JUU NA CHINI
 
Unategemea nini kutoka kwa MKATOLIKI?
Huwa mnajidhalilisha kweli na huu udini wenu.Nani amekwambia ROMA ni mkatoliki?kwa taarifa yako yule jamaa anaitwa Rashid ROMA ni vifupi vya majina yake na ndugu zake kila anayeipinga ccm ni mkatoliki acheni upumbavu
 
NAMKUBALI SANA HUYU DOGO,hatuhitaji kusikia nyimbo za ngono,hali watu walala na kufa njaa. Big up ROMMA
 
Milembe ufai,ni India tu panafaa kwa ilo tatizo lako la kchwa!! Roma anaelimisha watu,asila mnawasha nyinyi Ccmagamba! Tena ndo mmezidisha baada ya unyama mlio mfanyia Dr.uli.
 
Muziki wa hip hop una historia hiyo. Hata Marekani wanamuziki wa hip hop huponda sana polisi na system. Hakuna haja ya kumzuia, ndio raha ya muziki. Hakuna muziki usio na ujumbe. Let washabiki waamue kama ni poa au si poa...
 
Wacha watu wafurahia maisha wewe..

Ukifika wakati wa uchaguzi ROMA mwenyewe anajua chama makini..
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
Si ajabu hata wewe ulinyooshavidole viwili juu
 
Huyu msanii namwingiza kwenye moja ya my favorites.Mistari imesimama.
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Wewe kweli makamasi, la kwanza hujui maana ya hip-hop unadhani ni sawa na bongo fleva za wabana sauti, pili alama ya vidole viwili ni alama ya amani inatumiwa duniani kote na wasanii wengi tuu wanaitumia kama ambavyo CDM wameamua kuitumia, CDM hawana haki miliki ya alama ya vidole viwili, hip hop ni mashairi yanayolenga kuzungumzia maisha ya wahusika katika mapambano na maisha yanayowahusu, hivyo basi kama anachoimba Roma Mkatoliki ndicho hicho ulichokisikia manaake ndio maisha yanayozunguka jamii anapoishi na hao waliolipuka kumshangilia na kukubaliana nae pia wanaelewa anazungumzia nini, kweli chupi zimewabana sasa unashauri serekali itunge sheria kubana wasanii, mi nafikiri serekali itunge sheria ya kupeleka watu shule waondokane na mawazo kamasi kama wewe ili kuepusha vurugu kwa kutoelewa kwenu kwa umbumbumbu uliokithiri. HOVYOOOOOO
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

Acha ushabiki mkuu, wasanii wengi wamekuwa wakiimba nyimbo kutokana na hali halisi ya maisha. Kwa maana hiyo unatakiwa kujua kuwa fasihi simulizi huwa haiendi mbali na mazingira, kama anayoyaimba yanafanyika Tanzania basi yupo sahihi tatizo la CCM wanapenda kusifiwa tu wakikosolewa inakuwa ni chuki dhidi ya serikali. hebu sikiliza hawa wasanii na nyimbo zao.

Last edited by a moderator:
Mpelekani magwepande mkambane kolodala kwa plies awaambie kama anatumiwa na CDM.
 
Mkuu ushaona jina analotumia lazima awe upande wa chama chenye udini...
 
CCM mtatafuta mlango wa kutokea mwaka huu, kila mnapoenda mnakutana na maumivu tu kutoka kwa CHADEMA
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
 
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.

pole sana kwa kuadhirika na bongo flavour kwani nyie mnachojua ni mapenzi na majungu, jaribu kufuatilia chanzo cha hip hop ndio utajua, roma amefuata miiko ya hip hop ambayo ni kutafuta haki kwa njia ya mziki, ni kama serikali yako inavyoua raia kwa kuficha ukweli
 
Back
Top Bottom