Msanii Nikki Mbishi amuomba msamaha Kikwete

Msanii Nikki Mbishi amuomba msamaha Kikwete

=====

Song: "I'M SORRY JK"

Hook:
It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/
Tanzania inakumiss yaani daily/
Kwa niaba ya wabongo I'M SORRY JK/

Lyrics:1
I'm sorry JK nimeona tu niseme/
Mzuka huu niliupata nikiwa Juu Kijenge/
Mikopo hakuna tena huendi chuo kikuu kizembe/
Bungeni wanalewa wanabonga tu king'eng'e/
Wakitwanga wanatamba wakisanda wanatubu/
Simuoni tena Jay tangu akutane Sugu/
Scorpion amegeuka ghostface mwema/
Aliyeota Rais atakufa anaitwa Godbless Lema/
RC na Wasafi uswazi madefender/
Hapa Kazi tu mtaani njaa kali sio sinema/
Kama kuisoma tushaisoma namba/Ungegombea awamu ya tatu ingekuwa bora labda/

Lyrics:2
Enzi za bibi cheka wengi walikuita babu cheka/
Hawakujua kuwa nyakati zinakuja nakusepa/
Ulivunga wakibeza kuwa unapenda sana bata/
Na kiki ka" Makonda za Wasafi kuwafuata/
Wabongo watakumbuka kwenye sekta ya michezo/
Mpaka Taifa Stars nayo ikaonesha mauwezo/
Ukaongeza vigezo nyenzo matengenezo/
Leo Samatta ndo kinara na hachezi soka la dezo/
Tuzungumze magazeti Bunge wanaedit/
Hakuna mikakati bwana kumbe wanaekti/
Demokrasia demoghasia za Field Force/
Wengi wanafear ukweli kuwaambia Unju siogopi/
Mabenki yanafilisika madeni yanamimika/
Hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika/
Hatusheshi na shisha yaani sio fresh inatisha/
Bar mwisho saa sita siku hizi hatukeshi kabisa/

Lyrics:3
Kila taarifa ya habari leo JPM/
Pesa imepotea kimazingara David Blaine/
Waathirika hawaelewi juu ya mipango ya Bukoba/
Tetemeko wasije kula michango ya Msoga/
Tumekosa usitupe laana tucorrect/
Weka kando chama tuwe wana tuconnect/
Hela imefichwa nyuma ya Pazia la viwanda/
Njoo Sogodo uone Tanzania ya vibanda/
Uone chafu moja na askari mia wakisanda/
Chocho za Panya Road mixer pwiya la miganja/
Kuna nyakati nilikudiss JK/
Now I'm calling for the peace, DAMN! We miss JK/

By Nikki Mbishi 2017

Ha ha ha....
Kwa hiyo wanaomkandia sasa hivi JPM je kuna siku watakuja kumpigia magoti akishatoka madarakani?
Kwa post hii kuna haja ya kuwaponda viongozi????
 
Na bado tutanyooka tu, JPM endelea kukaza hakuna fedha ya burebure hapa
 
Ni mtazamo wake tu huyu kijana mjasiriamali kutoka Arusha city.
Namuombea kwa mungu asijetumbuliwa.

Manake hana sapota yoyote hata ya convoy. ni ubishi wake tyuu.

My take:
Asithubutu wachonganisha hao watu wawili.
Na pia Afahamu hakuna era iliyodumu milele. Maisha sio kutazama nyuma. Amuangalie kaka yake alivyo "MAKINI", hajiingizi kwenye madanguro ya siasa.

Huyu ni Nikki Mbishi na sio Nikki wa pili...
Uwe na uhakika kabla hujacoment, la sivyo utaonekana unabwabwaja tu.
 
=====

Song: "I'M SORRY JK"

Hook:
It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/
Tanzania inakumiss yaani daily/
Kwa niaba ya wabongo I'M SORRY JK/

Lyrics:1
I'm sorry JK nimeona tu niseme/
Mzuka huu niliupata nikiwa Juu Kijenge/
Mikopo hakuna tena huendi chuo kikuu kizembe/
Bungeni wanalewa wanabonga tu king'eng'e/
Wakitwanga wanatamba wakisanda wanatubu/
Simuoni tena Jay tangu akutane Sugu/
Scorpion amegeuka ghostface mwema/
Aliyeota Rais atakufa anaitwa Godbless Lema/
RC na Wasafi uswazi madefender/
Hapa Kazi tu mtaani njaa kali sio sinema/
Kama kuisoma tushaisoma namba/Ungegombea awamu ya tatu ingekuwa bora labda/

Lyrics:2
Enzi za bibi cheka wengi walikuita babu cheka/
Hawakujua kuwa nyakati zinakuja nakusepa/
Ulivunga wakibeza kuwa unapenda sana bata/
Na kiki ka" Makonda za Wasafi kuwafuata/
Wabongo watakumbuka kwenye sekta ya michezo/
Mpaka Taifa Stars nayo ikaonesha mauwezo/
Ukaongeza vigezo nyenzo matengenezo/
Leo Samatta ndo kinara na hachezi soka la dezo/
Tuzungumze magazeti Bunge wanaedit/
Hakuna mikakati bwana kumbe wanaekti/
Demokrasia demoghasia za Field Force/
Wengi wanafear ukweli kuwaambia Unju siogopi/
Mabenki yanafilisika madeni yanamimika/
Hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika/
Hatusheshi na shisha yaani sio fresh inatisha/
Bar mwisho saa sita siku hizi hatukeshi kabisa/

Lyrics:3
Kila taarifa ya habari leo JPM/
Pesa imepotea kimazingara David Blaine/
Waathirika hawaelewi juu ya mipango ya Bukoba/
Tetemeko wasije kula michango ya Msoga/
Tumekosa usitupe laana tucorrect/
Weka kando chama tuwe wana tuconnect/
Hela imefichwa nyuma ya Pazia la viwanda/
Njoo Sogodo uone Tanzania ya vibanda/
Uone chafu moja na askari mia wakisanda/
Chocho za Panya Road mixer pwiya la miganja/
Kuna nyakati nilikudiss JK/
Now I'm calling for the peace, DAMN! We miss JK/

By Nikki Mbishi 2017

i think kabla hauja comment sikiliza na soma huo wimbo...then changanua muziki ni sanaa...JK alifanya mema yake akatuleta mpaka hapa tulipo.aliheshimu demokrasia,alitukanwa matusi yote aka heshimu katiba
JPM ana mwaka sema madudu yaliyopo katika serikali yakeni mengi kuliko mazuri aliyoyafanya.maana karudisha nidhamu makazini ila sheria kali anazotumia zinajenga na kubomoa zaidi
kama kuna mtu ana amini katika sekta ya elimu tunaenda sawa basi inabidi aende akafanye check up mirembe, sekta ya afya( madawa na chanjo) upungufu huu haukuwepo before,sakata la sukari nadhani unalikumbuka,maneno aliyozungumza baada ya kukusanya mabillion ya KAGERA, Tanzania ya viwanda inavyoenda , watu hatukufurahishwa na JK ila tulisahau kuwa muda unapita atakuja mwingine.
muziki mzuri...sorry JK maana niki alimponda enzi akiwa Raisi
 
Nikki ameangalia upande moja wa shilingi,
Kikwete hajawahi kuwa kiongozi mwadilifu hata siku moja.
Amehusika sana na kuharibu nchi yetu akiwa na genge lake la wakina Rostam, Lowassa na Membe.
Udhaifu wa Kikwete katika ngazi ya Chama na Kitaifa ndiyo umetufanya tupate serikali hovyo kama hii ya leo.

Japo lazima nikubali kwamba alikuwa ni mtu mwenye UWEZO mkubwa sana wa kiutawala.
Alijua sana SIASA, UCHUMI, ULINZI na DIPLOMASIA. Binafsi naamini alikuwa na nafasi ya kufanya makubwa sana kwa taifa hili zaidi hata ya Mzee Nyerere. Lakini ndiyo hivyo alienda IKULU kufanya biashara na kuanza kulipa fadhila kwa marafiki mwishowe nchi ikawa GULIO.
Hovyo kabisaaaa!!!
 
Huyu hakuwepo pale Jangwani kwenye ule mgao maana hadi Bushoke alipata!
 
😀😀😀 yaani JK mlimtukana leo mmeanza kumkumbukaa??????
basi kumbe hata huyu tuliye nae akiondoka tutamkumbuka vile vile😀😀😀😀😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom