Nikki Mbishi: Wimbo wa “I’m sorry JK” usichezwe popote wala kusambazwa, sitahusika kwa chochote

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Screen-Shot-2017-02-15-at-1.20.56-PM.png

Ikiwa ni saa zisizodi ishirini na nne (24) toka itoke taarifa ya MwanaHiphop Tanzania Nikki Mbishi kutoa taarifa ya kuitwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuhojiwa kuhusu wimbo wake unaomzungumzia Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ‘I am sorry JK‘ Rapper huyo ameandika sentensi kadhaa.

Salaam, baada ya salamu naomba niombe radhi kwa vyombo vyote vya habari kuwa sitoweza kuwapa ushirikiano wowote kuhusu wimbo wangu wa “I’M SORRY JK” uliositishwa na hii ni kwa usalama wao na wangu pia

Ameendelea kuandika kuwa >>’Napokea simu nyingi sana zikihitaji maelezo juu ya suala hilo ila kiukweli kwa watakaohitaji taarifa kamili wanaweza kufika ofisi za BASATA, naomba nisiwe msemaji tena juu ya jambo hili‘

Nikki alitoa tahadhari pia >> ‘Kwa yeyote atakae endelea kuusambaza au kuucheza popote pale mimi sitohusika naye maana technology iko huru popote Duniani na siwezi kuzuia watu wasiupate kwa kuwa ulishasambaa, hivyo chukua tahadhari ili usijikute mikononi mwa sheria
1f600.sv
.

[HASHTAG]#Asanteni[/HASHTAG] sana, naomba msubiri ujio wangu mpya wa [HASHTAG]#SINGELI[/HASHTAG] na aina nyingine za muziki kama [HASHTAG]#NAIJA[/HASHTAG] [HASHTAG]#MCHIRIKU[/HASHTAG] n.k. MUZIKI NI AJIRA,MUZIKI NI KAZI YANGU #Mungu_Simama_Kweli_Idhihirike

Ni wako mtanzania mvumilivu:
Nikki Mbishi @2017
With no offence!
 
Safi amesha nyooshwa ,,,analeta ujanja wa kutukana watu kwa mgongo waneno Am sorry Jk
 
basata bwana wana taka nyimbo kama "makofi kwa anko" ila kumwomba msamaha jk hapana maana anko anaonekana si lolote
 
Back
Top Bottom