Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
Kwanza labda anachanganya nikki mbishi na Nikki wa piliMkuu nikuulize kitu,kipindi cha uchumba shemeji unampa maahadi kibao,unampiga kazi nzuri show ya ukweli,unaamuoa na unaanza kuonyesha rangi yako halisi,unamtukana na dalili zote mbaya.Shemeji akisema alikosea kuwa na wewe atakuwa mnafiki?
Kwa nini kubadili mawazo na fikra kwenu inakuwa dhambi