Msanii Nikki Mbishi amuomba msamaha Kikwete

Msanii Nikki Mbishi amuomba msamaha Kikwete

It's really sad how Tanzanians can't figure why we're in this mess, and who got us in it in the first place.
 
Lazima aombe msamaha maana sa hv hata kupitisha ngada ni nouma kuna kaugumu flani hivi..ila enzi zile aaah chaaaap tu
 
Ni mnafiki mkubwa.
Yeye na wenzake walikuwa wako mbele kweli kweli kumpigia kampeni Magufuli na CCM 2015, wakisema Tz tumepata masihi, leo anajifanya kumwomba radhi Kikwete, For what reason?
Sote tunajua kabisa Magufuli ni matokeo ya ule ujanja ujanja wa Kikwete kukata majina ya wagombea wengine ndani ya CCM.

Alipaswa aje haraka sana kutuomba radhi sisi watanzania kwa utapeli wao wa kutuingiza chaka 2015 ili tumchague Magufuli ambaye mapema kabisa ameshindwa vibaya.
Mkuu nikuulize kitu,kipindi cha uchumba shemeji unampa maahadi kibao,unampiga kazi nzuri show ya ukweli,unaamuoa na unaanza kuonyesha rangi yako halisi,unamtukana na dalili zote mbaya.Shemeji akisema alikosea kuwa na wewe atakuwa mnafiki?

Kwa nini kubadili mawazo na fikra kwenu inakuwa dhambi
 
Wanafiki wa Ukawa hahaha laana itawatafuna sana
 
Makamanda kwa kubadilika si mlisema Mkapa ndio kuweka huyu.
Mkapa mwenyewe analia. Wewe unafikiri Kwanini jamaa alipiga uturn dakika za majeruhi siku ya mapinduzi? Alipoambiwa wastaafu wote wapo kule akanyuti maana jamaa walijiandaa wamuweke mtu kati.
Ben alisikika akimwambia Yona kwamba anajuta.
 
Hela imefichwa nyuma ya Pazia la viwanda hahahahaha huyu jamaa mchochezi basata mpo wapi
 
Wasioweza kwenda na kasi watupishe!......watu tuko bize kucheza staili mpya za kale zanini?....tushazoea na kuipenda staili mpya. Ukisikia muziki unapigwa huwezi cheza pisha njia acha kelele
 
Samahani kwenda nje kidogo ya mada, hivi kesi ya uchochezi adhabu yake huwa ni nini kwa mjibu wa sheria zetu
Ushukuru kama utapelekwa mahakamani. Inasemekana kuna wakati ukifanya kile kinachoitwa uchochezi waweza kutumiwa meseji ya onyo na ukiendelea unapotea sijui kama hili ni la kweli
 
Mkapa mwenyewe analia. Wewe unafikiri Kwanini jamaa alipiga uturn dakika za majeruhi siku ya mapinduzi? Alipoambiwa wastaafu wote wapo kule akanyuti maana jamaa walijiandaa wamuweke mtu kati.
Ben alisikika akimwambia Yona kwamba anajuta.
Lakini JK si alimpanga Membe kwanini tusingemuunga mkono makamanda[emoji4]
 
Sidhani kama kulikuwa na kamanda aliyetaka CCM irudi madarakani.
Ila muache kuwalisha maneno viongozi,viongozi wote wanaiunga mkono serikali iliyopo madarakani kutoonekana sehemu Magu nayo mnaifanya habari?
 
Unasubir usemee mgongoni kwa wenzio.. Nenda front leta hoja zko apa
Bado uhalisia upo palepale huyu ni mmoja wa wanafiki kati ya watz ya walio wengi, Jana wamesema lile Leo wanasema hili hawana misimamo.
 
Bado uhalisia upo palepale huyu ni mmoja wa wanafiki kati ya watz ya walio wengi, Jana wamesema lile Leo wanasema hili hawana misimamo.
Kuna uwezekano mkubw wa kimwamini mtu kwa jinsi amavokushawish, asipoweza kifanya ivo kubadilika sio usaliti. Ni kuonyesha jins ulivokua dissapointed
 
Ila muache kuwalisha maneno viongozi,viongozi wote wanaiunga mkono serikali iliyopo madarakani kutoonekana sehemu Magu nayo mnaifanya habari?
Inawezekana wewe ni mmoja wa mbuni wanaoficha vichwa mchangani. Anyway ,good for you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom