Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Wanachadama wa chadema wanagawanywa kwa makundi.

Ndio maana mtoto wa Wassira pamoja na kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la maana lakini anapewa heshima kubwa kuliko Mohamedi Mtoi ambaye ameshajitolea sana kwenye shughuli za chama.

J hajawahi kufanya siasa yoyote, anachotaka ni kugombea Ubunge baada ya kushawishiwa na Sugu.
mbona kwenye ccm pia kuna makundi? Una kumbuka kundi la kikwete, mama salma, riz one na hata mohamedi kikwete, hawa hata wakigawa rushwa wao hawakamatwi! Kundi la kina mungai, sitta na mwakalebela na wenzake wanalazimishiwa kesi za rushwa! Ccm sio chama cha kutatua matatizo katika taifa letu, labda kuyaongeza! Kiujumla ccm ni janga kwa taifa letu!
 
We kwa upeo wako mdogo unaona hilo ndio jambo la kukufanya uonekane unajitegemea? mbona mkuu wa project ndiye amekuwezesha!! Tatizo lenu jingine mnapenda sana kuuza sura...

Mkuu Ritz
Naona ipo haja ya kumlipia kamanda Mwita Maranya hiyo itakuwa ni kama zawadi yangu ya mwaka kwake kama atakubaliana nalo hawa makamanda wamejiweka verified kwa lengo moja tu KUGANGA NJAA; wale mabosi wao pale Togo wanapita humu jamvini kuangalia nani kutuma posti kabla kuwa kugawa vijisenti; hebu angalia picha ya kamanda hapa huna haja ya kujiuliza picha inatoa majibu yote; wale waganga njaa wote wamejiweka kuwa verified angalia majina haya Mohamedi Mtoi; Ben Saanane; Mikael P Aweda hawa ni watu wanaosaka ulaji mtaa Togo kwa udi na uvumba; kamanda Precise pangolin yeye hana wasiwasi mtu mdude yupo poa yeye yupo Togo kama ofisi ya kusupply tu hana siasa hata moja inayoijua. AshaDii na Paw sheria za JF zinazuia verified user kuwa Gold au bronze member nataka kumpa zawadi kamanda wangu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
usanii ni sehemu ya kuelimisha na kufundisha jamii ulikuwa mwanachadema kiroho,kimtazamo na kiakili sasa kimwili,karibu kamanda!
 
Sasa harakati ndio zinapamba moto karibu prof jay umefanya maamuzi sahh sana japo umechelewa ila sio issue muda upo.. Karibu songea kumtoa nchimbi tena utamtoa kirahisi sana.. Yani yule ni mwepesi kama kishada.

karibu prof.jay ujiunge kwenye timu ya makamanda kuikomboa nchi.Onyo.kama umetumwa ni bora utuambie mapema tukuignore mapema kwani tukigundua wewe umekuja kutusaliti tutakufukuza kwa aibu
 
kweli proff J. ni tishio naona watumishi wa ndani wa wahindi RITZ,CHAMA, ZE MARCOPOLO wameteka jukwaa
 
Kuna watu ambao sijui akili yao inafikiria ikirudi nyuma kama akina Chama na Ritz? Labda kama ID hizo ni za Mwigulu na Nape maana siamini kama kuna mtu mweye akiri timamu unaweza kudhani kuwa Ccm itaendelea kuwa madarkani baada ya mwaka 2015. Kwa hali inayoendelea nchini ni dalili tosha kuwa watu wameuchoka utawala na wako tayari kwa lolote.

Mtu mwenye akiri pia hawezi kubeza ujio wa Prof Jay Chadema, huyu ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na jamii kwa ujumla. Iwapo Chadema wakimtumia vizuri mtaona madhara yake muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom