Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

vijana wa mr 2 sugu hao
lazima wafuate nyayo zake.

uamuzi mzuri sana.

Ulisikiliza/kusoma hotuba ya jana iliiyowakilishwa na Mr.Sugu?

Ameelezea kinaga ubaga matatizo yanayoikumba tasnia ya muziki na hivyo kuendelea kuwapa mwanga wasanii wengine wenye nia kujiunga na chama makini chenye kupigania wonyonge.

Viva Chadema. You Are Always Shine.
 
Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.

Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
muziki gani uliomshinda? Kwa kukesha kwako mtandaoni kwa buku 7 huwezi kuwa karibu naye hata kidogo, Jay hana njaa ya kiasi hicho. Huo ndio ukweli.
 
Sasa hvi hicho chama kitageuka bendi kabisa anatesti zali anadhani atapata jimbo wrong turn kapoteazali la mentali linaishia kwenye nyimbo tu
 
Mungu wangu weeeeh! Namuonea huruma jamaa (Prof. Jay) kwa kujianika hadharani kuwa yeye msanii na mwanachama wa CDM. Kwa wapenda maendeleo wote tumwombee mwenzetu asimwagiwe tindi kali na wasiopenda maendeleo na mabadiliko hapa nchini. Mungu msaidie huyu kijana aishi kwa heri na miaka mingi hapa duniani bila kupatwa na kilema au upofu wa kulazimishwa.
 
Afunguliwe kesi kwa umuhimu gani alionao? huko ku rap! akarap tu! hana jipya!

kaka mbona unachechetuka mapema hivyo? subirin tuwanyoe taratibu, umesahau uchaguzi uliopita ulimpa cash kibao akupige tafu? huku anajitoa apewi. big up prof. kazi moja ongera kwa kuchemsha bongo kabla hawajakuloweka kwenye mafuta
 
Sasa hvi hicho chama kitageuka bendi kabisa anatesti zali anadhani atapata jimbo wrong turn kapoteazali la mentali linaishia kwenye nyimbo tu

we si ak arobaini na saba? mbona muoga? ak gani wewe ebo!
 
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:

Wanachadama wa chadema wanagawanywa kwa makundi.

Ndio maana mtoto wa Wassira pamoja na kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la maana lakini anapewa heshima kubwa kuliko Mohamedi Mtoi ambaye ameshajitolea sana kwenye shughuli za chama.

J hajawahi kufanya siasa yoyote, anachotaka ni kugombea Ubunge baada ya kushawishiwa na Sugu.
 
Mohamedi Mtoi,zawadi za kigiriki hizi usizipokee! Pokea kutoka kwa yeyote si hawa Wagiriki.
 
daaaaah....safi sana aysee....bado jide,prof sio tu MSANII bali ni MSANII MAKINI....we ar proud ov it....welcome BIG DADY.
 
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo

kweli nchi yetu ina short kubwa sana so unamaanisha kwako P.Didy ni mtu muimu kuliko mtanzania mwenzio?????
 
Last edited by a moderator:
we si ak arobaini na saba? mbona muoga? ak gani wewe ebo!

THEN MBONA WAO WANA MZEE MMOJA ANA BONGE LA TUMBOOO anaitwa KAPTEN KOMBA,WANA VICK KAMATA,NAKAAYA NAE WAO NA BENDI WANAYO....kinachowauma sisi kuanzisha bendi nin?...puumbaaaaaafu.
 
Sasa hvi hicho chama kitageuka bendi kabisa anatesti zali anadhani atapata jimbo wrong turn kapoteazali la mentali linaishia kwenye nyimbo tu

What about john,nape,vick,jakaya(mzee wa kiduku) nk nayo ni bendi? Na mlivyomnunua Nakaaya nayo ilikuwa nn acha ujuha? Nani kakuambia mwanamuziki haruhusiwi kuwa mwanasiasa? Mbona mna kina luge! Roho kuuma ehe na bado kila kijana awe mwanamuziki au fani yeyote hazuiliwi kikatiba kushiriki siasa.Joto la nn?
 
Karibu kamanda katika harakati za kuwang'oa magaidi
 
Ukiangalia kwa ndani sana ("reading between the lines") utagundua kwa hali nchi ilipofika, bila kujali fani wengi walio makini wako kwenye uchambuzi ("analysis") wakimaliza tu haoooooo CDM. Ndo maana CCM tumbo joto hawajui nani mwingine atamaliza "analysis" yake kesho. Na kwa mambo wanayofanya CCM, wengi sana (including wa CCM yenyewe) wako kwenye hii stage. Its a matter of time.

Welcome PJ kwenye mapambano ya kuondoa ukoloni mweusi.
 
Mkuu Ritz
Wanazi wa Chadema wamekosa habari zenye mshiko na maslahi ya taifa letu; hivi huyu mtu prof. Jay ana umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania wa kawaida mpaka habari itangazwe kiasi hiki? Mimi nilifikiria P. Diddy kauchukua uanachama wa Chadema. Hawa watu ni wehu kiana wakiwa pale Togo wakishakatiwa buku kadhaa akili zao zinakosa upeo wa kufikiria.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC ZeMarcopolo

Mkuu chama,

Jamaa anapewa mapokezi makubwa na wakati wowote atatangazwa kugombea ubunge kisa aliimba wimbo zali la mentali.

Cha kusikitisha watu kama kina Mwita Maranya, hata ukatibu kata hawajampa.

Anakesha JF kumtetea Dr Slaa lakini Prof. Jay hana mchango wowote.
 
Last edited by a moderator:
Mohamedi Mtoi,zawadi za kigiriki hizi usizipokee! Pokea kutoka kwa yeyote si hawa Wagiriki.

Hahahahahaha

Acha kumtisha ndugu yangu Mohamedi Mtoi. tatizo la Mtoi ni moja, wakati wa mavuno ya matunda hatukumbuki ndugu yake.
 
Back
Top Bottom