Chama unaonekana umekata tamaa!!!! Maana naamini kimoyomoyo unajua jinsi atakavyowakimbiza akipewa nafasi na chama chake kufanya hivyo. Mimi mwenyewe nimeanza kuandaa ushauri wa kuwatumia watu kama Prof Jay kukinufaisha chama, nitaupeleka kwenye chama lakini nitauchuja ule uanoweza kuwekwa wazi nitauleta humu.
Kuhusu Dr Slaa, najua jinsi gani anawatia kiwewe maana mlipanga kumuua mkaogopa mnaweza kuwaisha ukombozi! Sasa nadhani mnalala kwa waganga wa kienyeji labda!!! mkijaribu na uchawi. Juzi aliandika humu kwamba ni mguu kwa mguu kila kijiji mpaka kieleweke. Chezea Daktari weye!
Zile single za kadi 2 kiliishia wapi? Mnampaisha mzee wa watu na kama kawaida yake yeye ni kama M. Satta maana jinsi mnavyompiga majungu ndivyo mnamuongeza ari ya kujenga chama. Alisema baada ya kuulizwa iwapo haoni kama anapunguza nguvu bungeni kwa kuamua kugombea urais, akasema kama nitashindwa kiharali nitaenda kijiji kwa kijiji kujenga chama changu, anatekeleza kwa vitendo sasa. Aruta continua!!!