Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,264
- 43,417
Hahahahahaha
Acha kumtisha ndugu yangu Mohamedi Mtoi. tatizo la Mtoi ni moja, wakati wa mavuno ya matunda hatukumbuki ndugu yake.
Mohamedi Mtoi yupo radhi alale njaa lakini Dr Slaa apate chakula.
Hahahahahaha
Acha kumtisha ndugu yangu Mohamedi Mtoi. tatizo la Mtoi ni moja, wakati wa mavuno ya matunda hatukumbuki ndugu yake.
Wanachadama wa chadema wanagawanywa kwa makundi.
Ndio maana mtoto wa Wassira pamoja na kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la maana lakini anapewa heshima kubwa kuliko Mohamedi Mtoi ambaye ameshajitolea sana kwenye shughuli za chama.
J hajawahi kufanya siasa yoyote, anachotaka ni kugombea Ubunge baada ya kushawishiwa na Sugu.
kweli nchi yetu ina short kubwa sana so unamaanisha kwako P.Didy ni mtu muimu kuliko mtanzania mwenzio?????
Mkuu ZeMarcopolo
Kuna wakati unapoongea ukweli watu wanakuchukia lakini utafanyaje na ndio hali halisi; kamanda Mohamedi Mtoi anajitolea kwa hali na mali lakini ndio hivyo tena juhudi zake ni bure kama kuna uwezekano angebadili jina na kuchagua linalokwenda sambamba na siasa za Chadema; huo ndio ushauri wangu kwake si vibaya kama atachukuea jina la Lema; Shirima au Lyimo haya yatamfaa sana.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama,
Jamaa anapewa mapokezi makubwa na wakati wowote atatangazwa kugombea ubunge kisa aliimba wimbo zali la mentali.
Cha kusikitisha watu kama kina Mwita Maranya, hata ukatibu kata hawajampa.
Anakesha JF kumtetea Dr Slaa lakini Prof. Jay hana mchango wowote.
Au ajiite Kweka Mtoi au Mallya Mtoi.
Mkuu chama,
Jamaa anapewa mapokezi makubwa na wakati wowote atatangazwa kugombea ubunge kisa aliimba wimbo zali la mentali.
Cha kusikitisha watu kama kina Mwita Maranya, hata ukatibu kata hawajampa.
Anakesha JF kumtetea Dr Slaa lakini Prof. Jay hana mchango wowote.
Mkuu Ritz
Njaa kitu kibaya Mwita Maranya ataishia kubeba mikoba; hajulikani hata afanye kitu gani ataishia huko kwenye kata; Togo kuna wenyewe hana jinsi ataishia kutumwa chai na vitafunio; Prof Jay katoa kibao cha kumsifu junior mambo bwerere Mwita Maranya kila siku kuchoma nauli ya daladala kutoka Segerea hamna kitu: mkuu ndio dunia hiyo ukitaka vya rahisi lazima utumike.
Chama
Gongo la mboto DSM
Buku Saba FC Lindoni. Hahahaha...pressure inapanda pressure inashuka> mtakufa mwaka huu nyie mazuzu.
Mkuu Ritz
Naona atajiita Mbowe anafukuzia Tanzania Daima walau apate kajinafasi cha kutapika pumba zake; mkuu siku mojamoja kamata nakala ya Tanzania Daima pamoja na kwamba halifai hata kumchambishia mbwa tumpe support jamaa yetu.
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe gamba Ritz usijaribu kujifananisha na mtu kama mimi ambaye sina njaa kama wewe. Nyie magamba mna tabia za unafiki na kujikomba kwa wakuu wenu wa chama ili mkirimiwe ukuu wa wilaya mnadhani na sisi ni hopeless kama nyie.
Mimi ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya wilaya niliyechaguliwa na wanachama, wakati wewe hata ubalozi tu wa nyumba kumi hauna, unavizia kuteuliwa na viongozi wako ambao kila uchao unawalamba miguu.
Kama kweli Profesa Jay hana mchango wowote mbona magamba mmejazana kwenye thread hii kutetea ujira wenu wa buku saba?
Buku Saba FC hoyeeeee...!!! cc: chama-gamba la Goms.
Msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni Diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mkuu
Wapi mie nijifananishe na wewe ebu nitake radhi mimi siishi kwa upambe wa siasa kama wewe.
Mkuu chama, kumbe huyu Mwita Maranya, pamoja na kelele zote humu ukumbini kumbe yupo Chadema wilaya ha ha haaa.
Mohamedi Mtoi, yeye atakuwa Chadema kata.
Mkuu Mwita Maranya
kiatu kinakwisha soli Segerea mbali sana; nawasiliana na Ritz tuone tutakusaidia vipi inasikitisha sana kuona unavyohangaika unapigika kimaisha kwa kutumikia watu ambao hata shukrani hawana; pia nawasiliana na Bi Khadija Kopa akufundishe kuimba hiyo ndio gea kubwa Chadema labda ukitoa single ya kumsifia Josephine katibu slaa atauona mchango wako.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hizo siasa za kulamaba miguu ziko huko kwenu ccm, sisi huku tunapiga kazi kwa ajili ya maslahi ya watanzania wanyonge.
Nyie wenyewe chama na Ritz mnaishi mjini kwa kuganga njaa lumumba project, mnaweza wapi kupata fursa ya kumsaidia kamanda kama mimi ikiwa mmeshindwa kuwasaidia mama zenu na baba zenu wanaopigika na maisha hata mlo mmoja tu wa siku hawana uhakika nao?