Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Heavy weight MC Profesa J.....karibu CDM umtoe Fisadi wa Elimu DR Nchimbi.......Nchimbi Kwishney
 

ANAPENDWA NA WATU GANI WASICHANA AU WANAWAKE AU WANAUME ? VP WEWE MWANAMKE AU MSICHANA
MISITARY YA BOb Marley unaweza fananisha na ya diamond
we bilashaka utakuwa msichana do not forget your history nor your destiny ,

Anapendwa na watanzania wote, jinsia zote, makabila yote na fundi25 akiwemo.
 
Je, ameeleza sababu za msingi za yeye kujiunga na CDM sasa?.....mtu hasiniambie ni swala la wakati, nataka hoja!

We Mchawi ndio maana unataka Hoja! Sikiliza Mzee, CHADEMA NI KAMA MAJI.USIPOYAOGA BASI LAZIMA UTAYANYWA.
Chadema ni mpango mzima Usipoikiri kwa Kinywa Basi lazima Utaikiri Rohoni.

Huu ndio wakati wa Kujua Mchele ni upi na Pumba ni Zipi. 2015 hakuna cha nilikatwa jina kwenye kura za Maoni Ccm! Hatutakua tayari kupokea Mamluki na Magamba dakika za Majeruhi.

Hongera sana Profesa J.umefanya uamuzi sahihi Kujiunga na wapigania uhuru wa kweli ktk harakati za kumngoa MKOLONI MWEUSI CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Nimeipenda hii hasa kufutia ujumbe ambao amekuwa aki-deliver kwenye jamii,karibu kwenye safari ya ukombozi wa pili wa taifa hili
 
nani kakwambia kwenye vyama tunaangalia uwezo wa kutunga mashairi we vp.

Mwandishi mzuri wa Mashairi na vingine ka hivyo anakua na uelewa mkubwa wa mambo na wa kujenga hoja, so kwa akili yako Prof unaweza kumlinganisha na Vilaza wengi wa CCM? mlinganishe basi na Komba coz naye si ni Mwanamziki?
 
Vizuri kamanda umesoma alama za nyakati, huko ulikokuwa si salama sana niwale waliofunuliwa kwa maono na mja wetu tu wanaweza kuliona hilo
 
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.

View attachment 94612
kamanda kazi ni ngumu mno, je upo tayari kuzushiwa kesi na kulala lupango katika harakati zako za kuwakomboa watanganyika? kama upo tayari basi mungu akutangulie maana kazi ndio kwanzaaa inaanza.
 

Huyu alikuwa ameisha jiishia zamani, hana tena Dili ndani ya muziki wa bongo fleva, alikuwa hana option zaidi ya hiyo , ili kujiliwaza kwani hata ndani ya medani ya muziki wa kizazi kipya hayumo tena , wakina Diamond wameisha mmaliza na kufanya jina lake lisahaulike. Kwa heri, kwa heri baba, kila wafu huzika wafu wenzao.

Si ajabu midume mingine ikikataliwa na demu huwa yanajinyonga
 
hata kinondoni anaweza chukua siyo issue kwa Songea tu, huyo ni msani, ukitaka kuju nguvu ya msaani kamuulize Prof. Mwandosya alikuwa anamchukulia poa kamnda Sugu, walipobwagwa tu... akajiona kumbe hata uprof wake wa njaa...

nani kakwambia kwamba kinondoni tunataka wanamziki watuongoze usitukosee heshima aenge huko na utoto wake kinondoni tunataka watu makini siyo kichwa kama cha j.
 
Siku zote najua prof jay ni mwanamabadiliko Nilisubiri lini atakuwa wazi kuhusu chama atakachojiunga sasa yametimia twende kazi....
 
Tusishangae kusikia Prof. Jay kajiunga na chadema kwani Prof.alishakuwa mwanasiasa kabla ya hata ya hao tunaowajua. Sikiliza nyimbo zake na harakati zake katika muziki. Ninazikumbuka nyimbo zake zilizotamba na zitakazoendelea kutamba kama vile: Ndio mzee NA SIO MZEE.Ukisikiliza nyimbo hizi unajua prof. ni mwanasiasa wa siku nyingi.
 
Amini sana Jay ze Profesor tuko pamoja kamanda wangu umechakua kilicho chema, maana wajanja na wenye akiri wote wana hamia chama hiki, Bado tuna mtaka Mpoto, Lady Jay dee, AY na Reginal Mengi au sio...
Pamoja sana Jay

mkuu umemsahau Roma mkatoliki, naye ni muhimu sana mkuu!
 
Dah! Wa wapi wewe? Unaweza kulinganisha Value ya Prof na Diamond? Duh!


Prof J aliisha kwisha long time ago, sasa ni historia tu. Ukimuona pale rose garden mpaka bia alikuwa anaomba. Njoo rose garden upate story zake.
 
Back
Top Bottom