Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Tunahitaji majembe 3 tu ili kuyapoteza magamba kwenye ramani ya siasa za Tz, Kati yao ni Jay.OMBI; Popote mlipo DUME LA SIMBA na RYMES OF MAGIC ATRACTION mujue watu wenu tunawasubiri kwa hamu kubwa ktk kuongoza harakati hz muje kuungana na JAY WAMITUNINGA.Mukumbuke nyie sio wa kwanza mumemshudia Jay-Z pande za state,Bebe cool hapa jirani! Lkn pia kama hiyo haitoshi 2010 hapa kwetu mumewashuhudia TMK,DIAMOND,MARLOW n.k. Hivyo musisite makamanda twenzetuni,
 
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?

Mungu amuepushie mbali Ritz balaa hilo la kujifananisha na wewe; Mwita Maranya umekosa la kusema au ndio akili zimekuruka sababu ya kujigeuza mtwana? Huyo haswa atakayetaka kujifananisha na mtu ambaye hata yeye mwenyewe hajitambui ni nani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
piga makofi.............piga makofi..............
piga makofi tafadhali
bravo wakunyumbaaaaaaa
 
Mkuu Ritz
hii chadema kata inayokesha JF isikushtue hata kidogo; Mwita Maranya anajulikana sana Segerea kwenye vibanda vya gongo na kutembelea wafungwa kila jumapili hiyo wilaya bado sana ana safari ndefu; mwenzake Mikael P Aweda alihamia Buguruni kwa mnyamani kutoka Ubungo ili ajipenyeze Ukonga; hawa jamaa wapo kimitegomitego hawana cha kunishtua; hawa wameingia kwenye game kuganga njaa sioni mwansiasa hata mmoja kati yao.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwita Maranya
Hebu tufanye jambo tu tuandike kitu humu JF mimi chama nitamsemea ovyo Nape Nnauye na wewe msemee ovyoo slaa halafu tuone kati yetu atakaye lala na njaa ni nani; kama unayo jeuri sema nakuhakikishaia siyo utamlamba miguu slaa utamlamba ------ mbwa wa slaa. Wewe unapigania maslahi gani ya wanyonge? Wewe mwenyewe mnyonge utampigania gani sema unapigania tumbo watoto wasilale njaa hapo utaeleweka

Chama
Gongo la mboto DSM
chama mtu mwenye akili timamu hawezi kushindania mambo ya kipumbavvu kama hilo unalojaribu kunishawishi kufanya. Anayefanya hivyo ni yule tu mwenye akili ya samaki.

Sijawahi kuona mtu anajidai anaishi USA lakini kila sekunde anapiga umbea wa lumumba kwa udhamini wa manispaa ya ilala. Unadhani huko state watu wanaishi kwa kupiga majungu? kumbe hata kama mtu umepata exposure kubwa kiasi gani lakini ukishakuwa mwanachama wa ccm basi akili yako inajaa matope. Ndio maana mwenyekiti wenu anasema ili mle mnaliwa kwanza. Makamu mwenyekiti wenu anasema mna akili za samaki.

Sasa kama viongozi wenu wakuu ndivyo wanavyowaona wanachama wao, unawezaje tena kujaribu kujifanya wewe mambo yako safi kuliko mimi? Kumsema hovyo nape kwa nyie walamba miguu wa fisadi ni kawaida kwakuwa hamna aadabu na kwakuwa mnamtumikia huyo anayewalipa ili muendelee kuwepo JF.

Jana nimeona kundi la fisadi limeanza kumsema hovyo Nape kwakuwa amekanusha habari za mwenyekiti wenu kumfagilia fisadi mkuu wa ccm. Endeleeni kumsema hovyo Nape Nnauye kwakuwa najua mnafanya hivyo kwakuwa hayuko kwenye kundi la mtandao wenu.
 
Last edited by a moderator:
kaka
mbona unachechetuka
mapema hivyo? subirin tuwanyoe taratibu, umesahau uchaguzi uliopita
ulimpa cash kibao akupige tafu? huku anajitoa apewi. big up prof. kazi
moja ongera kwa kuchemsha bongo kabla hawajakuloweka kwenye
mafuta

Profesa wa Ku rap! hivi mnadhani watanzania bado wajinga kiasi hicho! yani
muhuni avae mlegezo afanye mziki unaofanana na Rap! halafu awadanganye
nini wananchi! anadhani ndio watamuelewa kwa kufundisha kwake uhuni huo!
mchukueni halafu mumpeleke vijijini mkaseme "huyu mwanasiasa mpya "
muone! kwani hata wanamjua sasa! nyie mkikaa Dsm mnadhani mnajulikana na
kila mtanzania sio! pelekeni mlevi wenu kwenye kampeni zenu halafu
mnipe tathmini baada ya kuzunguka mikoa yote!
 
chama mtu mwenye akili timamu hawezi kushindania mambo ya kipumbavvu kama hilo unalojaribu kunishawishi kufanya. Anayefanya hivyo ni yule tu mwenye akili ya samaki.

Sijawahi kuona mtu anajidai anaishi USA lakini kila sekunde anapiga umbea wa lumumba kwa udhamini wa manispaa ya ilala. Unadhani huko state watu wanaishi kwa kupiga majungu? kumbe hata kama mtu umepata exposure kubwa kiasi gani lakini ukishakuwa mwanachama wa ccm basi akili yako inajaa matope. Ndio maana mwenyekiti wenu anasema ili mle mnaliwa kwanza. Makamu mwenyekiti wenu anasema mna akili za samaki.

Sasa kama viongozi wenu wakuu ndivyo wanavyowaona wanachama wao, unawezaje tena kujaribu kujifanya wewe mambo yako safi kuliko mimi? Kumsema hovyo nape kwa nyie walamba miguu wa fisadi ni kawaida kwakuwa hamna aadabu na kwakuwa mnamtumikia huyo anayewalipa ili muendelee kuwepo JF.

Jana nimeona kundi la fisadi limeanza kumsema hovyo Nape kwakuwa amekanusha habari za mwenyekiti wenu kumfagilia fisadi mkuu wa ccm. Endeleeni kumsema hovyo Nape Nnauye kwakuwa najua mnafanya hivyo kwakuwa hayuko kwenye kundi la mtandao wenu.
Mwita Maranya
Wewe tukubaliane jambo moja tu upo JF kuganga njaa; huna mnyonge wala masikini unayemtetea; sijawahi kukutana na mtetezi wa aina yako; wewe mwenyewe ni njaa kali; unaishi kwa kubeba mikoba ya kina slaa na kupika chai mtaa wa Togo utamtetea nani? mimi nimesema yopte kuhakikishia mimi ni mwanachama safi wa CCM ninayepigania chama changu makini; silishwi wala sivai kwa kuitegemea CCM. N nyie waganga njaa wa Chadema ndio wengi humu mpaka mna haribu utamu wa jukwaa mkiambiwa na slaa andikeni Josephine mzuri kama Halle Berry nyote mtakimbilia kuandika utumbo huo bila hata kuufanyia utafiti wa kina; wewe endelea kulamba makwapa hapo Togo huna jeuri hiyo na wala hutaipata.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Jay will always be my role model when it comes to harakati za kimuziki. Karibu katika mapambano naamini umefanya uamuzi sahihi. Mungu akutie nguvu katika harakati zako.
 
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?

Nadhani Mkuu chama, kaishakufahamisha tofauti ingine mie na wewe pamoja na Mkuu chama, sisi ni members Gold, ha haa ha.

Kwa taarifa yako sisi siyo wana siasa wala hatupo hapa jamvini kwa kutumwa na wanasiasa ndiyo maana unaweza kuona tunawachana hata kina Nape, Mwigulu, lakini wewe jaribu kupingana na Dr Slaa au Mbowe kama haujafukuzwa Chadema kama mbwa.
 
Last edited by a moderator:
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?

Nadhani Mkuu chama, kaishakufahamisha tofauti ingine mie na wewe pamoja na Mkuu chama, sisi ni members Gold, ha haa ha.

Kwa taarifa yako sisi siyo wana siasa wala hatupo hapa jamvini kwa kutumwa na wanasiasa ndiyo maana unaweza kuona tunawachana hata kina Nape, Mwigulu, lakini wewe jaribu kupingana na Dr Slaa au Mbowe kama haujafukuzwa Chadema kama mbwa.
 
Last edited by a moderator:
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?

Nadhani Mkuu chama, kaishakufahamisha tofauti ingine mie na wewe pamoja na Mkuu chama, sisi ni members Gold, ha haa ha.

Kwa taarifa yako sisi siyo wana siasa wala hatupo hapa jamvini kwa kutumwa na wanasiasa ndiyo maana unaweza kuona tunawachana hata kina Nape, Mwigulu, lakini wewe jaribu kupingana na Dr Slaa au Mbowe kama haujafukuzwa Chadema kama mbwa.
 
Last edited by a moderator:
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?

Nadhani Mkuu chama, kaishakufahamisha tofauti ingine mie na wewe pamoja na Mkuu chama, sisi ni members Gold, ha haa ha.

Kwa taarifa yako sisi siyo wana siasa wala hatupo hapa jamvini kwa kutumwa na wanasiasa ndiyo maana unaweza kuona tunawachana hata kina Nape, Mwigulu, lakini wewe jaribu kupingana na Dr Slaa au Mbowe kama haujafukuzwa Chadema kama mbwa.
 
Last edited by a moderator:
Profesa wa Ku rap! hivi mnadhani watanzania bado wajinga kiasi hicho! yani
muhuni avae mlegezo afanye mziki unaofanana na Rap! halafu awadanganye
nini wananchi! anadhani ndio watamuelewa kwa kufundisha kwake uhuni huo!
mchukueni halafu mumpeleke vijijini mkaseme "huyu mwanasiasa mpya "
muone! kwani hata wanamjua sasa! nyie mkikaa Dsm mnadhani mnajulikana na
kila mtanzania sio! pelekeni mlevi wenu kwenye kampeni zenu halafu
mnipe tathmini baada ya kuzunguka mikoa yote!

kaka he is an ICON! One of the giant celebrity in Tanzanian hip hop!
 
Mwita Maranya
Wewe tukubaliane jambo moja tu upo JF kuganga njaa; huna mnyonge wala masikini unayemtetea; sijawahi kukutana na mtetezi wa aina yako; wewe mwenyewe ni njaa kali; unaishi kwa kubeba mikoba ya kina slaa na kupika chai mtaa wa Togo utamtetea nani? mimi nimesema yopte kuhakikishia mimi ni mwanachama safi wa CCM ninayepigania chama changu makini; silishwi wala sivai kwa kuitegemea CCM. N nyie waganga njaa wa Chadema ndio wengi humu mpaka mna haribu utamu wa jukwaa mkiambiwa na slaa andikeni Josephine mzuri kama Halle Berry nyote mtakimbilia kuandika utumbo huo bila hata kuufanyia utafiti wa kina; wewe endelea kulamba makwapa hapo Togo huna jeuri hiyo na wala hutaipata.

Chama
Gongo la mboto DSM

Waganga njaa kama wewe chama na mpenzi wako Ritz ndio mnaganga njaa. Kila siku nyie mawazo yenu yametuama kwa Josephine na Dr. Slaa. Hili jambo linanisikitisha sana kwakuwa muda wote mmekuwa mkijipambanua kwamba nyie ni wa jinsia ya kiume, lakini kadri mnavyoendelea kumsakama Josephine naanza kupata wasiwasi kwamba nyie ni wa jinsia ya kike, kwahiyo mnamuonea wivu Josephine kwa kuwa mke wa Dr. Slaa.

Kama kweli nyie sio mategemezi/wakike, nawataka kuanzia sasa muanze kuandika na kujadili mambo yatakayowapambanua kuwa nyie sio wa kike. Siku zote mwanaume ndiye kichwa cha nyumba yake, na kwakuwa mmepungukiwa hilo ndio maana agenda yenu siku zote hapa JF ni masuala ya umbea na mambo ya kitandani ya watu wengine.Hebu badilikeni kwa ajili ya manufaa ya familia zenu wenyewe kwakuwa kwa Taifa hili hamna faida yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Mkuu chama, kaishakufahamisha tofauti ingine mie na wewe pamoja na Mkuu chama, sisi ni members Gold, ha haa ha.

We kwa upeo wako mdogo unaona hilo ndio jambo la kukufanya uonekane unajitegemea? mbona mkuu wa project ndiye amekuwezesha!! Tatizo lenu jingine mnapenda sana kuuza sura...
 
Last edited by a moderator:
Piga makofi piga makofi, Piga makofofi tafadhali
Nasema Piga makofi Piga makofi, Nasema piga makofi tafadhali
 
Back
Top Bottom