Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Wewe ni mwanaharakati wa kweli.Nimeyapenda sana maneno yako wakati unakabidhiwa kadi na Sugu.
 
Then tutahitaji kolabo moja kali sana linakalaounganishwa na ile Athem la peoples power.Kampeni za 2015.Watanzania wa feel the vibration angalau kwa masaa mawili.
 
Karibu sana Prof, umefanya uamuzi sahihi sana. Shiriki katika kutetea haki za wanyonge. Taifa tulilonalo limekosa mwelekeo kwa sasa. Mimi na wewe ndo dira.
 
Heeee Bujibuji hivi ni kweli leo ndio unasikia au kujua kwamba ....... ni ya CCM na watangazaji wake wengi ni wapiga debe wa CCM??!! Hii mpya unaishi wapi aisee
 
Last edited by a moderator:
unajua wasanii wana umuhimu mkubwa ktk harakati za kisiasa.mfano prof jay ana mashabiki wengi sana na mistari yake huwa ina viwango vinavyokubalika na wengi wetu,hivyo ni rahisi kufikisha ujumbe wa kisiasa kwa jamii kwa haraka zaidi na kueleweka ipasavyo!
 
Big up Prof Jizze hakuna kulala mpaka kileleweke,Chagua Jimbo lolote linalotawaliwa na magamba mkuu unapita bila kupingwa,kinega mkoloni nae kashatangaza nia...its m4c with no apology,we warned 'em Brrrrrrrr One Hundred YMCMB
 
Natafuta CD ya nyimbo za Prof J,ili niendelee kusikiliza nyimbo zake za harakati huku nikijua ni mpiganaji wa ukweli
 
yaweza ikawa Hata kusakwa ili roho yake iachanishwe na mwili ili kuweka kitisho kwa wasanii wengine wanaojipanga kuja CHADEMA kama vile Afande sele.

Naamini Mungu ata nyoosha mkono wake kuendelea kuilinda Chadema kila uchweo.
 
Back
Top Bottom