kwa taarifa yk nazifahamu siasa za songea vilivyo, songea ccm inashinda kiujanjaujanja tu na si vinginevyo! Tatizo la songea kwa chadema ni kutoweka mgombea anayekubalika na wanasongea, mbogoro hawezi kufanana na prof. J! Pili huwezi kuleta mabadiliko kwa mkoa wa ruvuma na taifa letu kwa kupitia ccm hata kidogo! Kama unapenda ufisadi ccm utaiona iko vizuri! Nikupe mfano je songea kuna umeme wa gridi ya taifa? Je tatizo ni nin? Kama sio siasa za maccm?. Je nchimbi ni mbunge wa vitendo? Kiujumla wabunge wa mkoa wa ruvuma ni wasemaji wa serikali na si wawakilishi wa wananchi! Pia kama raia mwema naomba nithibitishie kwamba chadema wanagawana mil. 400 kama msaada toka denmark!sawa ila nafikili siasa za songea uzijui vizuri ....nchimbi kweli kabisa alikua hakai songea ,ila swali kwako aligombea chadema?...ukipatajibu nafikili utajua kua ninacho zungumzia nini.sasa una sema anataka kufanya mabadiliko ya pili kitaifa hayo mabadiliko ni yaani gani kama kuongoza maandamano sawa hatavyunjwa miguu.ila nina mshauli achukue kadi ya ccm na hayo mabadiliko anayo yataka atayafanya akiwa ndani ya ccm ila tofauti na hapo ni kusubilia million 400 kutoka denimark walizo pewa chadema wagawane
songea tuna taka mbunge wa vitendo si maneno....
Risk takers ndo wanao-winprof j kuingia kwenye siasa ni kujimaliza,me sioni kama ni sahihi yeye kufanya vile na tena kwenye chama cha Chadema
daaah pole sana na r.i.p prof j
prof j kuingia kwenye siasa ni kujimaliza,me sioni kama ni sahihi yeye kufanya vile na tena kwenye chama cha Chadema
daaah pole sana na r.i.p prof j
Muziki umeshamshinda kaamua awe mchumia tumbo wa CHADEMA.
Sidhani kama ataingizwa kwenye mgao wa ruzuku wanaogawana pale makao makuu.
Chadema sasa kuna maprofesa wengi.
1] Prof. Jay
2]Prof. Safari
3] Prof. Baregu